Inabidi mfumo wa nyaya za umeme ubadilishwe kufanikisha hilo. Kisha uwekewe service line ya kwako. Hapo utapata Meter yako ya LUKU.Habari wana jf,
Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye nyumba hiyo hiyo ambayo tayari ina luku nyingine , je ni utaratibu gani naweza kuufata kusudi nipate luku yangu ?
Uko sahihi mkuu, ila kwa sasa fomu ya maombi mteja halipishwi inatolewa bure!Fanya wiring sehemu ya chumba unayotaka kuweka iyo mita,kisha nenda tanesco chukua form yao ya maombi ambayo ni 5900,kisha tafuta mkandarasi aliyesajiliwa na tanesco na kwa ajili ya kukugongea muhuri,kisha rudisha kadi lao na utapangiwa siku ya kufanyiwa survey na fundi wa tanesco,akishapita fundi wa tanesco yeye ndo atakuambia siku ya kwenda kulipia,baada kulipa ujiandae kuwekewa tu umeme,Na gharama ya kuweka mita ni 272000/=,(Vitu vya kwenda navyo ni kitambulisho chako chochote,na picha moja ya Passiport size),ukipenda unaweza ni pm kwa ushauri zaidi
Pamoja sana,lete kazi basi tupigeUko sahihi mkuu, ila kwa sasa fomu ya maombi mteja halipishwi inatolewa bure!
na je kwa nyumba ambayo ina deni hakuna msamaha au punguzo la makato ya deni?Nakushauri fika tanesco iliyo karib yako, nenda na list ya manunuz ya umeme mita namba yako, na barua ya inayotaja mita iliyopo na kuomba ya pili kwa jina la mwenye nyumba (awali) barua ziwe nakala mbili, baada ya hapo chukua fom bure ukiwa na kitambulisha na paspot ya mwenye nyumba, after then omba upewe mkandaras aliyesajiliwa tanesco ili akakufanyie wayaring na kukujazia fom na mhuri wake halaf utalipia...makadirio vifaa n 150000/= UFUNDI NA KUJAZA FOM 100000/= NA LUKU 320960/=JUMLA ANDAA 570960/= KWA KAZ YAKO YA SEPARATION wthn 30days umeme unawaka..EPUKA VISHOKA pia unaweza ni PM
Nakushauri fika tanesco iliyo karib yako, nenda na list ya manunuz ya umeme mita namba yako, na barua ya inayotaja mita iliyopo na kuomba ya pili kwa jina la mwenye nyumba (awali) barua ziwe nakala mbili, baada ya hapo chukua fom bure ukiwa na kitambulisha na paspot ya mwenye nyumba, after then omba upewe mkandaras aliyesajiliwa tanesco ili akakufanyie wayaring na kukujazia fom na mhuri wake halaf utalipia...makadirio vifaa n 150000/= UFUNDI NA KUJAZA FOM 100000/= NA LUKU 320960/=JUMLA ANDAA 570960/= KWA KAZ YAKO YA SEPARATION wthn 30days umeme unawaka..EPUKA VISHOKA pia unaweza ni PM
Mbona hizo gharama zinapishana sana?Fanya wiring sehemu ya chumba unayotaka kuweka iyo mita,kisha nenda tanesco chukua form yao ya maombi ambayo ni 5900,kisha tafuta mkandarasi aliyesajiliwa na tanesco na kwa ajili ya kukugongea muhuri,kisha rudisha kadi lao na utapangiwa siku ya kufanyiwa survey na fundi wa tanesco,akishapita fundi wa tanesco yeye ndo atakuambia siku ya kwenda kulipia,baada kulipa ujiandae kuwekewa tu umeme,Na gharama ya kuweka mita ni 272000/=,(Vitu vya kwenda navyo ni kitambulisho chako chochote,na picha moja ya Passiport size),ukipenda unaweza ni pm kwa ushauri zaidi
Kwa sasa ivi tanesco wamepunguza gharama ya kuwekewa umemeHebu pitia haya mabandiko:
Mbona hizo gharama zinapishana sana?
Unaweza ukang'oa service line kwa hasira .... Au unamaliza kujiwekea luku alaf kimjengo kinauzwa na mnunuzi hatak wapngaji.... Uuuuuuuuuwi unaweza kulia kilio cha mbwa mwiziInabidi mfumo wa nyaya za umeme ubadilishwe kufanikisha hilo. Kisha uwekewe service line ya kwako. Hapo utapata Meter yako ya LUKU.
Lakini hizo gharama utazikubali? Service line laki tatu na nusu au zaidi kidogo.
Ukihama hiyo nyumba?
Duh aiseeeHizo gharana ni kubwa sana... Kama wenzako uliopanga nao wanazingua na matumiz ya umeme, cha msingi muende sawa tu, naww nunua pasi,jagi la umeme, jiko la umeme, deep freezer, fan zuuur linaoperate masaa 24/7 , rice cooker na deep fryer, sasa hapo na ww utawanyoosha na mtaheshimiana... Kama mbwai n mbwai bhana.. Kusudi mwenzie jeur
sasa ndugu yangu sio kila kitu utakileta JfHabari wana jf,
Mimi nakaa nyumba yakupanga, kama baadhi mtakuwa mme experience karaha za umeme kwenye nyumba zakupanga, hivyo nimewaza bora niwe na luku yangu binasfi ambayo nitaiweka kwenye nyumba hiyo hiyo ambayo tayari ina luku nyingine , je ni utaratibu gani naweza kuufata kusudi nipate luku yangu ?
ahahahah eti member wa JF ni wanafamiliasasa ndugu yangu sio kila kitu utakileta Jf