Bonyeza hapo palipoandikwa ' App info'.
Itakupeleka kwenye machaguo mengi. Tafuta 'storage and cache', kisha bonyenza 'Clear Cache'.
Baada ya hapo, kwenye machaguo hayo hayo tafuta 'Install Unknown apps', ruhusu kama ipo off.
Unaweza kuzimq simu yako na kuiwasha. Kisha install apps zako bila usumbufu.