Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Kuna ile Ibara inazungumzis scope of agreement imesema ikiwa kuna serikali mpya basi itarithi mkataba huo.Tanganyika ikirejeshwa itaikana DP World kwamba haikuingia nayo mkataba huo bali JMT ndiyo iliingia nayo mkataba hivyo idaiwe JMT. Kwahiyo dawa ni kuifufua Tanganyika kama Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba ilivyopendekeza.
Sent from my SM-A260F eusing JamiiForums mobile app
Hujaelewa Serikali mpya ni Awamu ingine, haikumaanisha Nchi zikitengana au Jina la Nchi kubadilika.Kuna ile Ibara inazungumzis scope of agreement imesema ikiwa kuna serikali mpya basi itarithi mkataba huo.
Nchi nyingine haiwezi kurithi mkataba wa nchi iliyokufaKuna ile Ibara inazungumzis scope of agreement imesema ikiwa kuna serikali mpya basi itarithi mkataba huo.
Wafanyiwe kile rais Aboud Jumbe alichofanyiwa na Nyerere.Yes Jina la Nchi likibadilika na mikataba itakufa.
Bt tuwatendeje waliolifikisha Taifa hapa?
Je ADHABU ya kuwafungia jiwe la kusagia shingoni na kuwatosa baharini inatosha?
Sakata la Bandari limenipa funzo kubwa.Wafanyiwe kile rais Aboud Jumbe alichofanyiwa na Nyerere.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi sana. Tuvunje MUUNGANO, basi! as long as wanajeshi by 99% ni watanganyika, hili la kuvunja muungano litafanikiwa maana hakuna mwanajeshi anayependa Tanganyika iuzwe na waarabu wa zanzibar ambao ni descendants wa Oman, UARABUNITanganyika ikirejeshwa itaikana DP World kwamba haikuingia nayo mkataba huo bali JMT ndiyo iliingia nayo mkataba hivyo idaiwe JMT. Kwahiyo dawa ni kuifufua Tanganyika kama Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba ilivyopendekeza.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ngoja nasubiri KWA hamu SANA!!Ndugu mwananchi.
Kaa kwa kutulia.
'Kaa mkao wa kula'.
Kuna badhi ya vigogo tutawatema by 2025!
Mkeka utatoka mwezi wa nane 2023.
Kwa sasa msinung'unike. Kaeni 'mkao wa kula'.
Hamjui international law. Dola ya Uingereza ilianza 1066 na Mfalme Henry the Conqueror, mpaka leo mikataba yake Sovereign inaeshimika. Ikiingia awamu mpya ikazikataa awamu iliyotangulia itakuwa imeharamisha haki ya vizazi na vizazi, hela madeni mali birth certificates, vyeti vya vyuo, nk. Kama mawazo yenu kutaka kutawala kwa tumehuru pasipo kuchaguliwa yako hivi kumbe tuwakataeni.Hujaelewa Serikali mpya ni Awamu ingine, haikumaanisha Nchi zikitengana au Jina la Nchi kubadilika.
Njia ya KATIBA mpya inawezekana.Hivi chama kama Umoja Party kikishinda uchaguzi na kuunda serikali, si kinaweza kuukataa huo mkataba na kuufutilia mbali?
Nadhani siyo lazima UK iwe Tanganyika kama ambavyo imethibitika kupitia mkataba huu kwamba siyo lazima Znz iwe JMT.Hamjui international law. Dola ya Uingereza ilianza 1066 na Mfalme Henry the Conqueror, mpaka leo mikataba yake Sovereign inaeshimika. Ikiingia awamu mpya ikazikataa awamu iliyotangulia itakuwa imeharamisha haki ya vizazi na vizazi, hela madeni mali birth certificates, vyeti vya vyuo, nk. Kama mawazo yenu kutaka kutawala kwa tumehuru pasipo kuchaguliwa yako hivi kumbe tuwakataeni.
Utawalipa fidia ya thamani ya rasilimali zote za nchi. Hiyo ndiyo imeikumba Djibouti kesi inaendelea. Wanaidai Djibouti fidia ambayo ni zaidi ya thamani ya nchi nzima.Hivi chama kama Umoja Party kikishinda uchaguzi na kuunda serikali, si kinaweza kuukataa huo mkataba na kuufutilia mbali?
Labda sisi watatutreat tofauti kwa kuwa viongozi wetu ni ndugu zao wa damu 😂😂Utawalipa fidia ya thamani ya rasilimali zote za nchi. Hiyo ndiyo imeikumba Djibouti kesi inaendelea. Wanaidai Djibouti fidia ambayo ni zaidi ya thamani ya nchi nzima.
Nyerere angekuwepo CCM wangeyafanya haya?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mikataba ipo mingi nchi imeeingia, kwahiyo unashauri hiyo Tanganyika ikatae mmoja tu??Tanganyika ikirejeshwa itaikana DP World kwamba haikuingia nayo mkataba huo bali JMT ndiyo iliingia nayo mkataba hivyo idaiwe JMT. Kwahiyo dawa ni kuifufua Tanganyika kama Rasimu ya kwanza ya Katiba ya Tume ya Jaji Warioba ilivyopendekeza.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Yote isokuwa na maslahi.Mikataba ipo mingi nchi imeeingia, kwahiyo unashauri hiyo Tanganyika ikatae mmoja tu??