Nimeona Kila nikiweka line nyingine mpya ,bado anapata mwanya wa kuendelea kupata kile anacho kihitaji, vp nikitumia simu isiyo ya smartphoneFanya ukaguzi mzima wa simu yako...hakikisha unatumia email yako na si vinginevyo.....halafu ingia setting kisha angalia kama device administrator imesetiwa find my device ukikuta nyingine option ondoa tiki...kisha kagua accessibility kama kuna service ambayo ipo stored halafu imepigwa tiki iondoe haraka...ukisha fanya haya ma 2 ie device admn and accsesibilty nenda kwenye option y apps kisha kagua apps ambazo huzielewi nyingi huwa na jina l security make sure una zi unstall...hapo utakuwa umeisafisha simu yako ila kama huyo anaye kufatilia anatumia njia ya telbox app nivigumu kumzuia lbda ubadili number na asiifahamu
Vp nikienda kampuni ya simu siwezi pata msaada? Inavyoonekana kila nikiweka line mpya anapata taarifa na kupata anachotaka, vp nikitumia simu ya tochi inaweza kuwa suluhisho?Fanya ukaguzi mzima wa simu yako...hakikisha unatumia email yako na si vinginevyo.....halafu ingia setting kisha angalia kama device administrator imesetiwa find my device ukikuta nyingine option ondoa tiki...kisha kagua accessibility kama kuna service ambayo ipo stored halafu imepigwa tiki iondoe haraka...ukisha fanya haya ma 2 ie device admn and accsesibilty nenda kwenye option y apps kisha kagua apps ambazo huzielewi nyingi huwa na jina l security make sure una zi unstall...hapo utakuwa umeisafisha simu yako ila kama huyo anaye kufatilia anatumia njia ya telbox app nivigumu kumzuia lbda ubadili number na asiifahamu
Nimeona Kila nikiweka line nyingine mpya ,bado anapata mwanya wa kuendelea kupata kile anacho kihitaji, vp nikitumia simu isiyo ya smartphone
Vp nikienda kampuni ya simu siwezi pata msaada? Inavyoonekana kila nikiweka line mpya anapata taarifa na kupata anachotaka, vp nikitumia simu ya tochi inaweza kuwa suluhisho?
Nimeona Kila nikiweka line nyingine mpya ,bado anapata mwanya wa kuendelea kupata kile anacho kihitaji, vp nikitumia simu isiyo ya smartphone
Vp nikienda kampuni ya simu siwezi pata msaada? Inavyoonekana kila nikiweka line mpya anapata taarifa na kupata anachotaka, vp nikitumia simu ya tochi inaweza kuwa suluhisho?
Nashukuru kwa ushauri,hicho unachosema nilishafanya nikabadili mpaka nywiraKwa akili zako hizi utaendelea kuhackiwa mpaka ufe, watu wamekushauri kureset na ufanye new set up ila umekomaa na kubadili line.
Ushauri mwingine tunapotezaga muda tu.
Hata ukitumia nokia tochi ana uwezo wa ku acsess info zako akiwa anatumia tellbox
Nashukuru kwa ushauri,hicho unachosema nilishafanya nikabadili mpaka nywira
Ni hivi ,chanzo kikubwa cha haya matatizo ni pale unapofany synchronization hasa ya Email yako na account zingine kama google,Facebook, twitter na takataka zingine zile.Nashukuru kwa michango yenu ila kiukweli nishafanya hard reseting nikabadilisha nywira lakini wapi bado amezidi kuingilia mawasiliano, kibaya zaidi mtu huyo anaexpose mambo yangu ya kifamilia
Fanya ukaguzi mzima wa simu yako...hakikisha unatumia email yako na si vinginevyo.....halafu ingia setting kisha angalia kama device administrator imesetiwa find my device ukikuta nyingine option ondoa tiki...kisha kagua accessibility kama kuna service ambayo ipo stored halafu imepigwa tiki iondoe haraka...ukisha fanya haya ma 2 ie device admn and accsesibilty nenda kwenye option y apps kisha kagua apps ambazo huzielewi nyingi huwa na jina l security make sure una zi unstall...hapo utakuwa umeisafisha simu yako ila kama huyo anaye kufatilia anatumia njia ya telbox app nivigumu kumzuia lbda ubadili number na asiifahamu
nmesoma comments zote I'll niive kudukua lakini Hanna nlichoambulia.
Nahisi iyo telbox app ni kiboko
Mkuu inaelekea ni mtaalamu wa hii kitu, Funguka zaidi waanga ni wengi!Hapo mkuu umepigwa shambulio na app moja inaitwa
*Android Phone control*
Hii app ni hatari.. ilikua inapatikana hovyo ila kwa sasa naskia ipo kwenye black market.
Ni app ya kama 60kb... ila inafanya kazi hatari
. .
Ila anaedukua info zako lazma alipata muda wa kama dk 5 na simu yako alitumia otg.. kuinstall hiho ki app..
Kazi yake ni
Kumtumia kwenye email yake shughuli zote za simuna gps codinates za ulipo..
Yani
Miss call
Calls
Sms
Emails
Na upande wa calls ina option ya kurekodi ila wajanja hawaitakagi hiyo coz itakustua kwenye matumizi ya bando..
Ku acces hicho kia appkwenye simu yako lazma ujue punch codes yan labda ukicall 8799.. kinafunguka...
Hata ufanye hard reset hakitoki.. dawa ni kupia chini Firmware..
Ila ujue huyo anaetaka taarifa zako ataweka tena akipata .. chance..
So kuwa makini na simu ..