thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Huku kwetu hele inaongea mzee hamnaga tena saund kama kipindi tunakuaHaa haaa! Haaaa!! Ukweli wanaong'oleka kirahisi kihivyo ni wale ambao huku kwetu tunawaita 'nguru_bange'... Wa hovyo hovyo!
![]()

Mwenzio mleta uzi hata hela hatoi... Anawaonesha tu albam ya picha, anapewa mzigo!!!