Ngagarupalu Senior Member Oct 13, 2012 156 57 Dec 12, 2012 #61 kaeso said: Asante nimefanikiwa kwa laini yangu ya airtel.. Click to expand... lipia huduma
AK-47 JF-Expert Member Nov 12, 2009 1,373 199 Dec 12, 2012 #62 Kazakuku acha utapeli utafungwa buree Kazakuku said: Njia nyingine rahisi ni hii hapa....*141*0765579302*5000# alafu bonyeza OK.kwa mtandao wa voda ila lazima uwe na salio si chini ya 6000. Click to expand...
Kazakuku acha utapeli utafungwa buree Kazakuku said: Njia nyingine rahisi ni hii hapa....*141*0765579302*5000# alafu bonyeza OK.kwa mtandao wa voda ila lazima uwe na salio si chini ya 6000. Click to expand...
Tresor Mandala JF-Expert Member Aug 20, 2010 37,550 78,859 Dec 12, 2012 #63 RAIS WA WALALAHOI said: Nimepiga *150*03# inaniambia niwasiliane na tawi la karibu ili kuweka kumbmb zangu sawa lkn walinitumia sms Click to expand... ..mkuu hata mm imeniambia hivyo ..nikajua nimekosea sehemu
RAIS WA WALALAHOI said: Nimepiga *150*03# inaniambia niwasiliane na tawi la karibu ili kuweka kumbmb zangu sawa lkn walinitumia sms Click to expand... ..mkuu hata mm imeniambia hivyo ..nikajua nimekosea sehemu
N Nyasigwa R I P Mar 5, 2012 36 12 Dec 14, 2012 #64 Mimi inanambia taarifa zako bado hazijatufikia sasa sielewi taarifa gani wadau naomba msaada hapo
K kaeso JF-Expert Member Mar 22, 2011 551 96 Dec 14, 2012 Thread starter #65 Nyasigwa said: Mimi inanambia taarifa zako bado hazijatufikia sasa sielewi taarifa gani wadau naomba msaada hapo Click to expand... Hapo inabidi utembelee tawi lililo jirani nawe.
Nyasigwa said: Mimi inanambia taarifa zako bado hazijatufikia sasa sielewi taarifa gani wadau naomba msaada hapo Click to expand... Hapo inabidi utembelee tawi lililo jirani nawe.
Fred Katulanda JF-Expert Member Apr 1, 2011 374 509 Apr 11, 2013 #66 Jamani mie nilitembelea CRDB na kujaza fomu zao maalum lakini bado inagoma.
magino Member May 4, 2012 22 9 Sep 17, 2013 #67 Kazakuku said: Njia nyingine rahisi ni hii hapa....*141*0765579302*5000# alafu bonyeza OK.kwa mtandao wa voda ila lazima uwe na salio si chini ya 6000. Click to expand... kwakweli umeniacha hoi mkuu!!!
Kazakuku said: Njia nyingine rahisi ni hii hapa....*141*0765579302*5000# alafu bonyeza OK.kwa mtandao wa voda ila lazima uwe na salio si chini ya 6000. Click to expand... kwakweli umeniacha hoi mkuu!!!
nicholous mella JF-Expert Member May 11, 2017 312 161 May 14, 2017 #68 Eti jamaniii inawezekan kujisajiliii simbanking kweny ATM pale pale!!!!!??????