Nikupigie au Kuna mtu umemtag255 712 000 242
Umeuliza swali, nikakujibu.Nikupigie au Kuna mtu umemtag
Nakushauri uende ofisi zao ujaze fomu kabisa. Itakuwa rahisi pia wao kukusaidia kupata nafasi mapema.Naomba kuuliza namna ya kujaza hichi kipengele Kweny form za TaeSA online..Namjazia ndugu yng shida ni hapo kipengele Cha mobile phone..Natakiwa kuandika namna gani?Nisaidie tafadhaliView attachment 2113234
Siku Hz nasikia hawafanyi hvy..Ndo maan wameweka form onlineNakushauri uende ofisi zao ujaze fomu kabisa. Itakuwa rahisi pia wao kukusaidia kupata nafasi mapema.
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Nimeweka km ulivyosema lkn Bado wananiambia ErrorHiyo sehemu ya kwanza unaweka namba yako unayoitumia muda wote, sehemu ya pili unaweka namba yako ya ziada.
Mbn nikiweka km ww ulivyonionyesha napo haitaki255 712 000 242
Yaan nahangaika..ndiyo mifumo ya IT wa Bongo, empty set kabisa
255653169346 (usiache space)Mbn nikiweka km ww ulivyonionyesha napo haitaki