kiponyezeo cha cha kuedit heading ya thread ingependeza zaidi. samahani sana kicha cha thread kinatakiwa kuwa hivi, Namna ya kufungua simu ya Tecno S1.Kwa wale wote ambao wanatumia simu za Tecno S1 ambazo zimefungwa na mtandao mmoja wa tigo, Line one imefungwa kwa ajili ya kutumia tigo tuu na line 2 unaweza kuweka laini yoyote ile, ila ili uweze kupata mtandao wa 3G/4G ni lazima kwa Tigo tuu. Nimeambatanisha file ambalo ukilitumia simu yako itakuwa inaweza kufanya kazi mitandao yote. bonyeza hii link hapa chini na kisha upakue file...usisahau kusema ahsante bada ya kufanikiwa.
Teco S1 unlocked firmware-100% working fine-ebidii cataux computers - Télécharger - 4shared - Abdillah Irumba
oky naomba password zake ili tuthibitishe maana nina unlocked firmware lkn chenga nyingi sana .. sijafanikiwaprotection ni muhimu. still n free koz ckatai kutoa password.
shukraniAbdillah8888 good luck
Unlocked firmware for Tecno N8...working 100%......good luckMkuu najaribu ku-unzip inadai passwod au nitakuwa nimekosea? km unalo la tecno 8. Nikishafanikisha nitakutumia hela ya bundle ya mwezi mzima.
Nisaidie password mkuu 😔Unlocked firmware for Tecno N8...working 100%......good luck
CaTaux Computers-MT6735M_TECNO-N8 - Télécharger - 4shared - Abdillah Irumba