gerald anthoni
Member
- Jan 27, 2018
- 79
- 60
Umeniwahi mkuuNetwork ni kama electrical tu, isikutishe.
Kama unaona zile socket kwenye ukuta ambazo unachomeka wire kisha unaupachika kweny computer, kunakuwa na wire mwingine (CAT6) ndani ya conduit & juu ya dari unaoenda mpaka kwenye network switch / server room.
Kama jengo lina Wireless (WiFi) kila mahali maana yake kuna access point kadha wa kadha ambazo unaweza usizigundue kwa macho, ila hizi zimeunganishwa kwa wire kwenda kwenye hiyo network switch / server room.
Ili jengo liwe na internet, Hapo kwenye hiyo network switch / server room panakuwa na router ambayo imeunganishwa na Internet Service Provider (ISP) ambaye kazi yake ni uunganisha network ya jengo husika (LAN) na internet (WAN) na analipwa kwa hilo kutegemeana na makubaliano
ISP anaweza kuunganisha internet kwa: Wireless Radio (vidish vidogo unavyoviona nje ya maghorofa au juu ya majengo), Fiber (waya mdogo sana ila unabeba mzigo mkubwa mno - kama mkongo wa taifa), Satellite, 3G/4G/LTE n.k
Network ya jengo ni wire na vifaa tu hamna muujiza.
Ni lazima ukiunganisha kitu chochote uwe na source. Haitakuwa rahisi ikiwa Huna service source yoyote. Kama hakuna mnara inamaana hata simu haitapata network. Unatakuwa hupatikani. So huwezi ukatapa internet.Mfano sehemu n porini hakuna mnara wa simu yawezekana kujitengenezea mfumo wa kuaccess internet?
Ipo njia ya satellite mkuu hapa bongo inatolewa na kampuni inaitwa konnectMfano sehemu n porini hakuna mnara wa simu yawezekana kujitengenezea mfumo wa kuaccess internet?
Kuna computerš» lab hapa zinatumia mfumo wa Ncomputing, yaani computer ni moja tu lakini watumiaji wengi (screen) je inawezekana kutumia bila interne?tNetwork ni kama electrical tu, isikutishe.
Kama unaona zile socket kwenye ukuta ambazo unachomeka wire kisha unaupachika kweny computer, kunakuwa na wire mwingine (CAT6) ndani ya conduit & juu ya dari unaoenda mpaka kwenye network switch / server room.
Kama jengo lina Wireless (WiFi) kila mahali maana yake kuna access point kadha wa kadha ambazo unaweza usizigundue kwa macho, ila hizi zimeunganishwa kwa wire kwenda kwenye hiyo network switch / server room.
Ili jengo liwe na internet, Hapo kwenye hiyo network switch / server room panakuwa na router ambayo imeunganishwa na Internet Service Provider (ISP) ambaye kazi yake ni uunganisha network ya jengo husika (LAN) na internet (WAN) na analipwa kwa hilo kutegemeana na makubaliano
ISP anaweza kuunganisha internet kwa: Wireless Radio (vidish vidogo unavyoviona nje ya maghorofa au juu ya majengo), Fiber (waya mdogo sana ila unabeba mzigo mkubwa mno - kama mkongo wa taifa), Satellite, 3G/4G/LTE n.k
Network ya jengo ni wire na vifaa tu hamna muujiza.
Ndio, bila shaka.Kuna
Kuna computerš» lab hapa zinatumia mfumo wa Ncomputing, yaani computer ni moja tu lakini watumiaji wengi (screen) je inawezekana kutumia bila interne?t
Yaani somo na installation sio lelemama...tena sio rahis kama wale wanaofunga cctv.IT sio kama umeme kina mengi sana ya juzingatia so wanaokwambia ni sawa na umeme wanakudanganya
Inawezekana ila itategemea ISP yupi anafika eneo husika.Mfano sehemu n porini hakuna mnara wa simu yawezekana kujitengenezea mfumo wa kuaccess internet?
Nawashangaa hawa madogo ndo unakuta network ipo kama kuku kapita kwenye topeYaani somo na installation sio lelemama...tena sio rahis kama wale wanaofunga cctv.
Japo vitu vichache vinahusiana