Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya iphone na simu zingine haswa za Android tulizozizoea na haswa Samsung
Samsung au tecno tunazo zitumia sana zina utitiri wa matoleo ya simu zao kwa mwaka na ndio maana ili kurahisisha inabidi uweke kila kitu kwenye simu maana zinatofautiana kidogo kwa macho kuanzia simu za juu hadi za chini kabisa
Iphone wao wakitoa simu ni moja tu na inakua inajulikana, sema siku hizi wameanza kutoa mbili mbili
Ukitaka kujua specification za iphone yako unapaswa kujua unatumia iphone gani then nenda ka google au kwenye website yao au link uliyopewa hapo juu
Kwenye simu unaweza kuangalia tu imei, ios na vitu vingine