Namna ya kuandika refferences

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Msaada namna ya kupata refference baada ya ku-google material
 
kichwa cha habari na ulivyoandika ndani tofauti, reference inategemea ni style gani unataka mfano APA style, Harvad style nk.
Sema unataka usaidiwe reference ya chanzo gani? content from website, blog au kwenye articles, journal au...
 
Ukigoogle materials uwe unapakua zile za PDF mwishoni kuna marejeleo ya kumwaga lakini pia zipo articles kibao zenye marejeleo.. Anza na mbinu izo ukizoea uje tena upate shortcut
 
Heading yako inaweza kukukosesha unachohitaji ila naamini nilichokujibu hapo juu kitakusaidia
 
Kwann mkuu umesema ivo

Ombi lako kwa Sisi ' Mangumbaru ' wa Elimu ni gumu kulitekeleza kama vile umwambie Mtu apandishe Mlima Kilimanjaro ' Kileleni ' kabisa kwenye barafu na baridi Kali huku akiwa Kifua wazi / Kidali po.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…