Nataka namna ya ku fungua pass code ya screen ya iPhone.
Nataka nifanye hivyo bila kupoteza data. Zamani ilikuwa rahisi kufungua kwani aliweka date of birth naona imebadilishwa sasa screen lock imekuwa maneno.
Muhim sana. Nikiingia Mara moja you bas hata abadiliahe tena kwangu sio muhim nitakuwa na access whatsapp hata kwa remote via laptop yangu
Hakuna option zaid ya kupiga chini hilo file na kuweka jipya na hata hyo bado itakudai apple id..hapo ndo utagundua iPhones are there for smart people..so kwa lugha nyepes bila ridhaa yake ni itakua daydream