Namna sahihi ya kujifukiza

Namna sahihi ya kujifukiza

kibokomchapaji

Senior Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
165
Reaction score
307
Brighton Amolo Majwala, amesummarise mahojiano ya ndugu yetu msomi akihojiwa na Television ya taifa leo kuhusu kujifukiza na kutoa summary hii hapa chini, ni vizuri kushea hii,ina faida kwa watanzania
👇🏻

Dk otieno (Phd), mkurugenzi wa tafiti za Tiba asili, Chuo Kikuu cha tiba Muimbili amethibitisha haya ktk mahojiano na TBC aridhio leo

1) Kujifukiza si kinga ila ni dawa kwa ambae amepata corona inasaidia

2) Usijifukize miti zaidi ya mitatu, unapoteza nguvu za dawa

3) Wakati wa kujifukiza usikodoe macho, fumba make unaweza kuua macho

4) Watoto chini ya miaka mitatu na wazee na wenye matatizo ya kifafa na presha wasifukizwe

5) Tangawizi na limau ni muhimu kunywa

6) Muda wa kujifukiza ni dakika 10 mara moja kwa siku, na kwa ambao tiari ameshaathirika na corona afanye mdogo mdogo mara tatu kwa siku

7) Kujifukiza ni tiba ya magonjwa mengi yakiwamo stress, kutoa mafuta mwilini na kurekebisha mishipa ya damu hivo tuendelee kujifukiza hata covid ikiisha

8) Tangawizi, mikarafuu na liamu ni nzuri kwenye chai na kwa aliyeathirika anywe angalau kila baada ya dakika 10

9. Wagonjwa wenye Pressure, Pumu na Wazee wenye Umri mkubwa, wakijifukiza wakae dk.2 na kutoka, halafu wapumzike kwa muda then wajifukize tena.

Tafadhali mjulishe na mwingine. Tuzuie vifo vya Corona, wagonjwa wote wapone.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Kama unataka nyungu, nenda shinyanga kule kwenye tiba asilia utachomwa tena ile ya mawe, usiombe mziki wake sio wa kitoto,

Kama una afya ya kuunga unga achana na hii kitu.

NB: Sijasoma post ya mtoa uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nimetoka kujifukiza, tangia nianze ugonjwa wa mafua ya amara kwa mara umeondoka kabisa napumua vizuri
 
Back
Top Bottom