Thabit Karim JF-Expert Member Sep 3, 2012 366 645 Jul 24, 2022 #1 Naombeni kujua ni namna ya kurekebisha taarifa za deni katika makato. Yaani website ya bodi inaonekana deni ni dogo lakini katika salary slip deni ni kubwa. Nipeni hatua za kufanya kwa aliyefanikiwa. Maana naona nataka kupigwa pesa.
Naombeni kujua ni namna ya kurekebisha taarifa za deni katika makato. Yaani website ya bodi inaonekana deni ni dogo lakini katika salary slip deni ni kubwa. Nipeni hatua za kufanya kwa aliyefanikiwa. Maana naona nataka kupigwa pesa.
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 19,649 51,874 Jul 24, 2022 #2 Nenda HESLB wakupe outstanding balance.
Thabit Karim JF-Expert Member Sep 3, 2012 366 645 Aug 8, 2022 Thread starter #3 Mad Max said: Nenda HESLB wakupe outstanding balance. Click to expand... Wakishanipa napeleka Utumishi?
Mad Max said: Nenda HESLB wakupe outstanding balance. Click to expand... Wakishanipa napeleka Utumishi?
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 19,649 51,874 Aug 8, 2022 #4 thabit karim said: Wakishanipa napeleka Utumishi? Click to expand... Unampa HR wako
Tate Mkuu JF-Expert Member Jan 24, 2019 28,504 82,286 Aug 8, 2022 #5 Hii Bodi ya Mikopo nayo ni janga tu kama yalivyo majanga mengine.