herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,962
- 3,189
Kulingana na swala la gonjwa hili la civid 19 mukusanyiko mbalimbali imezuiliwa ili kuthibiti kuenea kwa hili gonjwa hatari la covid 19
Misiba imekuwa n mingi afu ya kishua ambayo kwa siku za nyuma tulikuwa tunafaidika nayo ila now days hali imechange kutokana na kutoruhusiwa mkusanyiko ko mabaaria wengi wanakosa fursa ya kisoro (msosi) ambapo hapo nyuma ilikuwa inatusogeza hata kwa wiki nzima tukila kisolo cha msibani ila cku hz ali imekuea siyo kabisa
cku hz sherehe hakuna kabisa hata zikiwepo ni za watu wakuhesabika ko baharia huweziingia kirahis hvyo tunakosa fursa ya kupata hata ukoo
ko hali ni mbaya tuombe MUNGU hili gonjwa lipite turudi kwenye hali zetu za zaman
kwa Mabaharia wenzangu