SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,717
PrishazMimi huwa naacha kny maji kwa muda wa one hr na zinatoka vizuri sana.
Unaviacha viazi kwenye maji before or after kuvikata kata?
PrishazMimi huwa naacha kny maji kwa muda wa one hr na zinatoka vizuri sana.
Baada ya kuvikata.Prishaz
Unaviacha viazi kwenye maji before or after kuvikata kata?
Hello.. Umejaribu hayo maelekezo umeshindwa?wana jukwaa la mapishi naombeni msaada wa utaalamu wa kutengeneza crips za viazi vitamu,mihogo pamoja na ndizi asanten
nashukuru nimewezaHello.. Umejaribu hayo maelekezo umeshindwa?