Mange kasema aliyemuua ni mtoto wa former IGP..Mahita???? ( Sina uhakika hapo if it is Mahita)Kifo cha bilionea Banjoo kimeniacha na Simanzi sana. Pengo lake kamwe alitazibwa na yoyote na chochote.
Alikuwa mcha Mungu swala tano ana sijdah kwanini wamemdhulumu uhai?
Kajenga misikiti, kasaidia mayatima na wajane alikuwa mstari wa mbele katika swala zima la kusaidia wahitaji na ubinadamu.
Allah amfanyie wepes na amsamehe dhambi zake huko Firdaus jannah.
adriz de mbusii
Kwenu mange yuko sahihi kwenye kila kitu!?Mange kasema aliyemuua ni mtoto wa former IGP..Mahita???? ( Sina uhakika hapo if it is Mahita)
Tuanzie hapo, tatizo ni nini?
Tafuta clip ya Mange hapa JG utaona
USIMUAMINI SANA MANGE KIMAMBI NAYE HUTEGEMEA TAARIFA ZA KUPEWA, PALE ALIPO TEKEWA WALINZI NI WENGI SANA, NENDA HAPO UTAPATA HABARI ZOTE UKIVUKA TU BARABARA KUNA KIJIWE CHA WAENDESHA TAX HUKAA HAPO STORI YA UHAKIKA IPO TULIA INSHU IISHE UTAPATA TU KAMA NI MNYETISHAJI, NIMETEMBEZA SANA VITUMBUA HAPO MIAKA HIYOMange kasema aliyemuua ni mtoto wa former IGP..Mahita???? ( Sina uhakika hapo if it is Mahita)
Tuanzie hapo, tatizo ni nini?
Tafuta clip ya Mange hapa JG utaona
Hivi alikuwa bilionea wa nini?Kifo cha bilionea Banjoo kimeniacha na Simanzi sana. Pengo lake kamwe alitazibwa na yoyote na chochote.
Alikuwa mcha Mungu swala tano ana sijdah kwanini wamemdhulumu uhai?
Pia soma > Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?
Kajenga misikiti, kasaidia mayatima na wajane alikuwa mstari wa mbele katika swala zima la kusaidia wahitaji na ubinadamu.
Allah amfanyie wepes na amsamehe dhambi zake huko Firdaus jannah.
adriz de mbusii
Huu mkanda unaonekana upo wazi maana hapo km kuna security ya kutosha lazima watakua wameacha fingerprints zao za kutosha yaan wameonwa na waliowaona ndio wanajua full story, sasa tusubirie nini kitafuata dunia haina siriUSIMUAMINI SANA MANGE KIMAMBI NAYE HUTEGEMEA TAARIFA ZA KUPEWA, PALE ALIPO TEKEWA WALINZI NI WENGI SANA, NENDA HAPO UTAPATA HABARI ZOTE UKIVUKA TU BARABARA KUNA KIJIWE CHA WAENDESHA TAX HUKAA HAPO STORI YA UHAKIKA IPO TULIA INSHU IISHE UTAPATA TU KAMA NI MNYETISHAJI, NIMETEMBEZA SANA VITUMBUA HAPO MIAKA HIYO