Namkumbuka sana Marcio Maximo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namkumbuka sana Marcio Maximo

Discussion in 'Sports' started by engmtolera, Jan 23, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mr. Marcio Maximo Barcellos, Brazilian Professional Football Coach is serious, competent and has coaches always with good results as one may check on his honest "Curriculum" and had his capacity recognized wherever he has been coaching."

  Dominic Keane Chairman - Livingston Football Club“I would like to take this opportunity, on behalf of everyone here at Livingston Football Club, including the supporters and staff, to thank Marcio for the great professionalism and personal enthusiasm which he brought to Livingston.”
  “Marcio’s efforts will be appreciated for years to come. The dedication he brought to his role at the Club can never be questioned, and I am only sorry that he will not now be able to realise the proceeds of the solid foundation he has put in place.”

  Máximo was a member of Brazil's under-17 and under-20 sides coach staff from 1992 until 1993. The teams included the future stars like Ronaldo and Ronaldinho. He had been working as technical director to the Grand Cayman Islands for three-years when he rejected the offer of a ten-year extension and instead joined Scottish club Livingston Football Club on 5 June 2003. Máximo signed a one-year deal as head coach and became the first Brazilian to manage a British club. However, things did not work out and after nine games (3 wins, 3 draws and 3 defeats) he resigned on 14 October.


  Tangu tumeleta fitina zetu wanaJF na watanzania kwa ujumla na kumwondoa MAXIMO,tumebaki na timu yetu na hatuna matumaini tena.

  kama kawaida ya wtz huwa ni kuponda tu,angalia timu yetu ya taifa ya sasa,hakuna kitu na ndio tumezidi kushuka ktk viwango vya soka duniani
   
 2. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu nikushukuru kutambua hilo! Ukweli utabaki kuwa ukweli! Nilishawahi kutofautiana na wenzangu ki- mpira kuhusu uwezo wa huyu Maximo. Tuko wapi sasa ki-soccer? Tumebaki kuwa shabiki wa timu maarufu za nje. Arsenal, Man U, Man C, AC Milan, Barca, n.k., ndio kimbilio letu. Tukubari tusikubali, hatujawekeza katika soccer!
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Na hili ndilo tatizo kubwa tulilonalo,hatuwekezi ktk soka then tunataka matokeo mazuri tena kwa haraka sana,ni bora maximo alitufanya tukawa tunasikika na sie,lakini kwa sasa hakuna kitu nani wa mkulaumu ni hawa wafuatao

  1.washabiki wa simba na yanga waliokuwa wakileta ushabiki usio na maana hadi kuondolewa kwa maximo -angalieni mlichokitaka sasa
  2.viongozi wa chama cha mpira-walio kuwa wakiendeshwa kwa ushabiki wa simba na yanga pasipo kuangalia wapi maximo alikuwa anatupeleka
   
 4. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Na bado
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Na kweli.
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Kipindi cha MAXIMO tuliwahi kushika nafasi ya themanini na ushee katika viwango vya ubora wa soka, sijui sasa hivi tupo nafasi ya mia na ngapi.
   
 7. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu umesahau na propaganda za kihuni zilizofanywa na redio za magic fm na clouds... Walifikia kuendesha upigaji wa kura huku wao wapinzani wa Maximo wakiwa ndio wasimamizi, wahesabu kura, na watangaza matokeo!!! Tulibishana nao tukachoka.
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Niliwahi kusema hapa...ila kuna watu hawakuwa na uwelewa arifu.....bongo hakuna soka babake..........chagua timu NBA uanze kushabikia...
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Yule aliyekuja kuigiza movie na matangazo ya Serengeti wakati timu ilikosa ushindi game na Mocambique, tena nyumbani? Tukashindwa kufuzu AFCON 2008, wakati tulishamchapa Burkinabe nje ndani?
  Afanalek!
  Kwa ari iliyokuwepo nchini na uongozi mpya wa L. Tenga, mafanikio yalikuwa ni lazima hata kama timu angepewa engmtolera...
  Wote mmekubali kuwa tatizo letu ni la kimfumo, na sio individual, sasa misifa kwa MM inatoka wapi?
  Binafsi nam-miss Buckhard Pappe...
   
 10. MFUKUZI

  MFUKUZI JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  maximo hana lolote!!!!!!!!! Hivi niambia kabla ya kuja tanzania alikuwa na mafanikio gani na baada ya kutoka kapata timu gani???????? Sasa kocha mzuri huwa anakosa timu??????? Si bora hata tuseme micho angalau yanga walimtema lakini kila anapokwenda anang'arisha!!!!! Msisimko wa soka wa kipindi kile si wa maximo, ni jk na serengeti walioamua kuwekeza na kuutangaza mpira na aliyetuangusha ni maximo, timu ilienda mpaka brazil, denmark na sehemu kibao, mwisho wa siku tukawa tunakula vichapo!!!!!!!

  Tatizo letu sisi ni mfumo wa soka ndiyo mbovu!!! Hata akija morinho stars haitafanya vizuri
   
 11. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu wengi tulifikiria kama wewe na watu wakadai wazawa wapewe na wao wanaweza sasa si wamepewa juzi jzui? umeona lakini? na babu si huyu? Botswana wanapeta sisi tumebaki maneno tu
   
 12. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Duh hivi Rafa Benitez si hana timu wakati amewahi mara mbili kupewa tuzo ya FIFA ya kocha bora? Mournho naye si alikaa muda mrefu bila timu?
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Ni sawa tu na halali kumkumbuka huyo mbrazili...............hata mimi namkumbuka sana baba wa taifa, kama angekuwepo madudu mengi yanayoendelea yasingekuwepo sasa
   
 14. Zagazaga

  Zagazaga JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 519
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  acha upumbavu mpira hauchezwi kwa ari ispokua uwezo binafsi wa wachezaji.mpaka hapo mtakapoelewa hayo ndo mtapiga hatua.pumbafu
   
 15. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  hizo zote sira za marehemu maximo hana lolote,hana lamaana,ila ukimpambanisha na huyu babu bora maximo ila wote mabwege tuu!kikubwa maksimo alikua mwana siasa pia
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  wanaosema Maximo hana lolote ni ushabiki tu! Fikirieni kimpira bana!
   
Loading...