Pole ila hata unavyoandika humu maana yake si unaongeza degree ya kumkumbuka? Ningekuwa wewe hata kusikia jina lake tu nisingeruhusu!!! Nikikuacha mimi kurudi ni sawa na kutaka kumeza tena matapishi yangu. Sorry for hard language ila ninafikiri the last thing a man will do to me ni kunitusi achilia mbali kunipiga.
Baba ako
Mjinga sana wewe, yani umeniharibia siku kabisa.
Kwa hiyo viji story vyako vinatusaidiaje sisi??
Kweli umelaaniwa wewe si bure.
Na huto olewa kamwe kwa tabia hizi!
Mkague.....
Khaaaaaaa!!!mweeeeh
Babu kumbe bado umo??
Anyways, nimebadili ID ukinigundua ni nani njoo nakupe zawadi yako kama ya siku ile
Wewe unahs nn kfuatach I.t.v???
Karud darasani bas..
Masomo ya elimu ya juu!!!
Kuna shida kubwa kwenye elimu ya awali na ya msingi
Hayo sdhan kama yanakuhusu bidada..
I see you deserve ku-tangazwa!U never know