Yuko mbali ndo maana unasema haumuhitaji tena... kumuwaza kwa mambo ya faragha na yeye ni kuonyesha ume miss sana... angekuwa yuko karibu mbona tayari mshasameheana...
umeshategua mtego kumbe lama yuko right huyo uliyenae ndo umemuona mali kuliko yule wa zamani ssa unakuja na visingizio kibao lakini kumbuka usiache mbachao kwa msala upitao !!
yuko mbali ndo maana unasema haumuhitaji tena... kumuwaza kwa mambo ya faragha na yy ni kuonyesha ume miss sana... angekuwa yuko karibu mbona tayari mshasameheana...
umeshategua mtego kumbe lama yuko right huyo uliyenae ndo umemuona mali kuliko yule wa zamani ssa unakuja na visingizio kibao lakini kumbuka usiache mbachao kwa msala upitao !!