Asante,imepenya akilini hiyo
dushee vepeNilikuwa na boyfriend wangu, tulipendana sana lakini ikatokea mm nkahama mkoa ule ambao yeye alikuwa anafanyia kazi. Kwa ahadi za kukutana kwan muda si mrefu yeye anaanza likizo.
Basi nami pamoja na familia yangu tukahamia Dar ambako hata masomo yangu ya elimu ya juu nnasomea hapa Dar umbali ukawa tatzo, tukawa tunawasliana kama kawaida lakini mwenzangu akaanza tabia ya wivu wa ajabu kias kwamba hata kama nipo darasan sjapokea smu yake au kumjbu sms yake lazma tugombane.
Nkamvumlia lakn kubwa ikawa siku moja nipo na wenzangu tunaenda kununua chips kama chakula cha jioni, hiyo sehemu ilkuwa na mziki hivi mpenz wangu yule akanpgia nam nkapokea nkamsalmu vzur lakn nkamtaka radh, nkamwambia nipo nanunua chakula na hapo nilipo pana kelele hivi kias kwamba simsikii vzur.
So, anipe dak.5 ntampgia, lahaula! ikawa kosa, bwana yule akawa mbogo, akaanza kuntukana na kunsema npo na ma bwana zangu nkajarbu kumuelewesha lakini nltwanga maj kwenye kinu.
Akaniambia kuanzia hapo nisimpigie simu, klia mtu aendelee na hamsini zake loh! Niliumia mtoto wa kike, chps zikantumbukia nyongo nkajiliza paleeee mpaka kulipokucha.
Nikapga sm na kutuma sms sku nzma lakn hakupokea wala nn ikawa bila bila nkagive up nikaringanisha na tabia zake za wivu na unywaji pombe kuptlza, nkampotezea.
Hapo sasa yeye akaanza kurud kwangu lakn mm skuw tyar. Sasa basi, nimeanza tabia ya kumkumbuka tho simuhitaji wala kumtaman.
Namkumbuka vituko vyake, kisses zake, romantic conditions zoote zake lakin simhtaj tena.
Just memories
unafkr kumtamani Ex huwa kunaanza na mbio za mwenge ?
enhenhenhnh
Nilikuwa na boyfriend wangu, tulipendana sana lakini ikatokea mm nkahama mkoa ule ambao yeye alikuwa anafanyia kazi. Kwa ahadi za kukutana kwan muda si mrefu yeye anaanza likizo.
Basi nami pamoja na familia yangu tukahamia Dar ambako hata masomo yangu ya elimu ya juu nnasomea hapa Dar umbali ukawa tatzo, tukawa tunawasliana kama kawaida lakini mwenzangu akaanza tabia ya wivu wa ajabu kias kwamba hata kama nipo darasan sjapokea smu yake au kumjbu sms yake lazma tugombane.
Nkamvumlia lakn kubwa ikawa siku moja nipo na wenzangu tunaenda kununua chips kama chakula cha jioni, hiyo sehemu ilkuwa na mziki hivi mpenz wangu yule akanpgia nam nkapokea nkamsalmu vzur lakn nkamtaka radh, nkamwambia nipo nanunua chakula na hapo nilipo pana kelele hivi kias kwamba simsikii vzur.
So, anipe dak.5 ntampgia, lahaula! ikawa kosa, bwana yule akawa mbogo, akaanza kuntukana na kunsema npo na ma bwana zangu nkajarbu kumuelewesha lakini nltwanga maj kwenye kinu.
Akaniambia kuanzia hapo nisimpigie simu, klia mtu aendelee na hamsini zake loh! Niliumia mtoto wa kike, chps zikantumbukia nyongo nkajiliza paleeee mpaka kulipokucha.
Nikapga sm na kutuma sms sku nzma lakn hakupokea wala nn ikawa bila bila nkagive up nikaringanisha na tabia zake za wivu na unywaji pombe kuptlza, nkampotezea.
Hapo sasa yeye akaanza kurud kwangu lakn mm skuw tyar. Sasa basi, nimeanza tabia ya kumkumbuka tho simuhitaji wala kumtaman.
Namkumbuka vituko vyake, kisses zake, romantic conditions zoote zake lakin simhtaj tena.
Just memories
ahahahahahhahahhahaha NI MIMI NDO NILIANDIKA HILI JIBU?unafkr kumtamani Ex huwa kunaanza na mbio za mwenge ?
enhenhenhnh
ahhahahhaahhhaa nimecheka sana one of the comments nimeandika!Nani kafukua hili kaburi?
Na bado sijamaliza kitabu...ahhahahhaahhhaa nimecheka sana one of the comments nimeandika!
shemeji ulianza kuninyweshwa ulabu siku nyingiiiii!
ahahahahahhahahhha na bado hujafika mwisho sio?Na bado sijamaliza kitabu...
I love you too shemela...ahahahahahhahahhha na bado hujafika mwisho sio?
nasubiiiiiiiriiii
Kaizer usiseme hujaambiwa kuwa shemeji yuko chapter one!
na we mekukumbuka!ila na kukutamani humo humo!
MI STAKI MAMBO YA SITAKI NATAKA!
eti we ushasikia x ijui z anakumbukwa bila kutamaniwa mwanafunzi wangu?
PSYUUUUUU!
Pole sana mkuu..si unajua tena maisha ndo yalivyo...yana mambo mengi kchiziNot anymore,I moved on kitambo sana
Aisee kaburi hiliYes I know,some of us tumepitia mengi katika mahusiano. And we can't erase the memories.