mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Kama it has jurisdiction over cases committed in non signatory countries, Kwanini viongozi wa USA na UK ICC haiwezi hata kuwashitaki kisa nchi zao hazikusaini mkataka wa icc?This minister is far away disconnected from reality, arudi Shule aangalie kwa nn icc ilianzishwa
Icc haihusiki na mambo ya democracy or elections, icc inahusika na war crimes na crimes against humanity related cases,
Nchi inaweza kuwa na amani leo kesho amani ikapotea, mwaka 2002 wakenya hawakujua miaka mitano mbele wangechinjana
Above all, this court has jurisdiction over cases committed in non signatory countries to the icc, so you can't run away from icc
ICC ni a white court prosecuting African leaders.......if they are serious mbona some European and American Countries are not part of this sham? Waafrika tujiondoe kutoka ICC.This minister is far away disconnected from reality, arudi Shule aangalie kwa nn icc ilianzishwa
Icc haihusiki na mambo ya democracy or elections, icc inahusika na war crimes na crimes against humanity related cases,
Nchi inaweza kuwa na amani leo kesho amani ikapotea, mwaka 2002 wakenya hawakujua miaka mitano mbele wangechinjana
Above all, this court has jurisdiction over cases committed in non signatory countries to the icc, so you can't run away from icc
Hao big powers, USA, Russia, China, France , UK ndio world order yenyewe unayosikia, hawa ndio world police, ndio wenye kufadhili hiyo mahakama, hivyo hatuwezi kujifananisha naoKama it has jurisdiction over cases committed in non signatory countries, Kwanini viongozi wa USA na UK ICC haiwezi hata kuwashitaki kisa nchi zao hazikusaini mkataka wa icc?
Huwezi kujiondoa nani atakupa misaada ukishajiondoa?ICC ni a white court prosecuting African leaders.......if they are serious mbona some European and American Countries are not part of this sham? Waafrika tujiondoe kutoka ICC.
Waafrika tyjifunze kujitegemea ban we na vibakuli zako!Huwezi kujiondoa nani atakupa misaada ukishajiondoa?
Hao uliwataja ndio serikali ya dunia, ukiongezea na China na Russia, ndio wanaoamua dunia iendeshwe vipi,
Ndio maana wana kura ya veto,
Kama tulivyo na serikali Tanzania ambayo inatuamulia kila kitu hata kama hatupendi, ndivyo hivyo pia katika ngazi ya dunia Kuna serikali inaitwa UN ambayo inaongzwa na nchi tano France, UK, China, Russia and USA hawa wanaweza amua chochote kupitia security Council na wote ni lazima tufuate
Kupitia United nations security Council waliamua kuanzisha icc
Hivyo uhalifu wote unaofanyika katika nchi ambayo si mwanachama wa icc, icc itakwenda security Council na kuwaomba hao wakubwa ruhusa, icc ikishapewa ruhusa na baraza la usalama la umoja wa mataifa wanakufuata kokote uliko uwe mwanachama au la
Hivyo Namibia inajisumbua tu
Sawasawa kabisae kwahio tunahitaji kuendelea kua watumwa wao na sheria zao si ndio chief?Hao big powers, USA, Russia, China, France , UK ndio world order yenyewe unayosikia, hawa ndio world police, ndio wenye kufadhili hiyo mahakama, hivyo hatuwezi kujifananisha nao
Tunafikia pahala tunataka ku challenge mamlaka za dunia, haiwezekani
ICC is a farce!This minister is far away disconnected from reality, arudi Shule aangalie kwa nn icc ilianzishwa