Elections 2010 Namhurumia Kikwete, shughuli pevu kwa spika ajaye, waziri mkuu afunge mikanda!

LENGEJU BOB

Member
Nov 1, 2010
53
29
Hawa jamaa walikuwa watano tu, vipi vywa bunge viliwaka moto!
mwelekeo wa sasa waonyesha upo uwezekano wakafika 100 (including viti maalum)
Lakini hebu pata picha hawa jamaa wakiwa 50 tu, pale Bungeni, halafu itolewe hoja dhidi ya ufisadi na List ya walioomba kuchangia ni hii hapa

1.Zitto
2.Mbowe
3.MPendazoe
4.Halima Mdee
5.JOHN shibuda
6.JOHN mnyika
7.KIBOKO NYERERE
8.GODBLESS LEMA
9.NDESAMBURO
10.LYTONGA MREMA
11.TUNDU LISU
.
.
.
.
.
PATA PICHA!
 
No! kwa list hii, spika yafaa awe mwenzao ndo NYUMBA Itanoga!! Spika akiwa mpiganaji pia jamaa wanaweza kupindua serikali, wakamtangaza Rais wao kwenye kikao cha bunge! hahahah
 
Back
Top Bottom