Majina ni majadiliano baina yenu wawili. Jambo la kuzingatia ni usiruhusu mkeo ampe jina mtoto wenu wa kiume, huwa hawakawii kuwapa majina ya maex. Exception kwa hii kanuni ni kama mtoto kupewa jina la baba mkwe.