Namdai,anasingizia namtongoza!

Duh hii thread ya zamani hata kabla mwigulu madelu hajaanza ugaidi..jamani
 
Nyo.....ko, hujui hiyo hela hata wigi hainunui?

sasa mbona unaharisha mdomoni na kiharishio unacho?ndio tatizo lenu nyinyi mkiambiwa ukweli kupayuka mwajifanya mna pesa kumbe chokambofumbofu sister!
Utakuta ndo nyie aliyewaimba ney wa mitego mnabomolewa hata kwa buku shz typ
 
taratibu na maneno yako Mpwa
hahaaaaaaaaaaaaaaaa siki hizi kwenye pesa hakuna cha mpare wala mchaga, hihi ni kabila gani ambao sio wabahili kabisa?
 
Da ebana mpotezee tu huyo mungu atakulipa maana hata ukimwendea atakusingizia unambaka uwawe bure
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaa siki hizi kwenye pesa hakuna cha mpare wala mchaga, hihi ni kabila gani ambao sio wabahili kabisa?

sisi hapa wahaya pata zote tumia zote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…