Namchukulia kama chombo cha starehe tu

Mapenz bwaana ukete huko unapopenda nako unalazimisha tu mwangalie kwa jicho jingne mtoto
 
Tatizo show za vjana mnakamia sana unajisahau kuwa mwanamke hutakujakuwa na future nae unajitutumua mauno feni bovu haya sasa madhara yake ndo hayo
 
Hakuna laana yoyote kwa hawa wazinzi wawili watakayopeana, wakimtanguliza Muumba katika uhusiano wao wataelewana na mambo yatanyooka.
 
Hakuna laana yoyote kwa hawa wazinzi wawili watakayopeana, wakimtanguliza Muumba katika uhusiano wao wataelewana na mambo yatanyooka.
 

Hahaha safiiii
 
Never say never....

Baadae utasikia huyo ndiyo chaguo lako. Maisha haya.
 
Hahaaaa eti nawe unagua...pole ugonjwa utapona tu.......usipoangalia huo ugonjwa utaendelea mpaka na watakaokuja.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Ama wewe, mkeo au wanao (wake kwa waume) nao watageuzwa kuwa vyombo vya starehe tu. Karma is a bitch isn't it?!

Mwambie ukweli huyo binti ili aendelee na maisha yake. Kama akikubali kuwa chombo cha starehe basi wewe utakuwa umeshajitua mzigo vinginevyo utapatilizwa wewe na vizazi vyako vyote!
 
Kosa lako ni kuendelea kumtumia. Kama una nia ya kuachana nae take action.
 
Hapo unaeza sema unamchukulia hivyo ukadhan unamkomoa, kumbe yeye kakufanya chombo cha usafiri ila dereva yupo kwenye seat yake. Ya wanawake waachieni wenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…