Namba za simu, Nabii Burudoza

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,735
Reaction score
7,010
Hbr wanajamvi,
Samahani naombeni namba ya simu ya huyo mchungaji/nabii ambaye huendesha kpnd Channel Ten.
Ahsanteni sana kwa ushirikiano.
 
Kwenye Tv si huwa wanaweka namba zao mkuu!!

Fikicha macho utazame uzuri!
 
Ni dharura imetokea
Muda huu,
Hlf siko nyumban,
Mwenye nazo tafadhali.
 
Sio pepo,
Naombeni namba zake,
Pia jina lake kamili ili nigoogle
 
Sio pepo,
Naombeni namba zake,
Pia jina lake kamili ili nigoogle
Kwahiyo una dili unataka umpe mchongo? ok subiri wauminiwake waje sahizi wapo lunch time prayer.
 
Mtafute Nabii Mkuu Tanzania H.E Dr. GeorDavie

Namba za huduma ni hizi 0712-112244,piga kwa maombezi na ushauri wa kiroho..Pia karibu ibadani ,Ukonga mazizini siku ya Jmapil ,ibada inaanza saa nne kamili..Pia jnne na Alhamis saa kumi hadi saa 12 .. Shalom
 
Mkuu kama ni kwa GeorDavie, Im sory sitakuja.
 
Ahsanteni,
Ndugu wanajamvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…