Namba za Magari zafikia code ya T xxx CCM

Namba za Magari zafikia code ya T xxx CCM

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,554
Reaction score
2,158
Habari za masiku wana JF? kwa mwana JF mwenye mapenzi mema na Tanzania taarifa hii si ya kupuuza! endapo unataka kusajili No.ya chombo cha motoitakubidi usubiri kwa muda hadi No. hizi zenye historia ya chama kilichotufikisha hapa tulipo ziishe ina maana mpaka vyombo 900 visajiliwe!!! kwani No.za usajili zimefikia T xxx CCM. utakujashindwa kuliuza/kuendesha au laweza kukuletea MATATIZO! SHIME SHIME TUZIGOMEE No.hizo!
 
Naunga Mkono hoja Mia kwa mia, mimi nimefika mbali zaidi sasa hivi sifa za vigezo kwa mwanamke upande wangu asiwe Gamba, kama ni Gamba huyo hana nafasi kwangu hata awe mzuri kiasi gani.
 
Na kweli mi kwa mabaya ya cccm hata nashindwa kuvaa jezi za chama langu yanga kweli cccm wametuweza jamani
 
mboga za majani nazo zinafanana na bendera yao tuache kula ......... ???
Hapana, siasa zisitufikishe uko.
 
Freema Agyeman unanishangaza chuki gani nimeionesha? NIMEPENDA kuwataadharisha wanaotaka kusajili magari kwa sasa waache mpaka No.hizo zipite... Zinatia KINYAA SANA!
 
Freema Agyeman unanishangaza chuki gani nimeionesha? NIMEPENDA kuwataadharisha wanaotaka kusajili magari kwa sasa waache mpaka No.hizo zipite... Zinatia KINYAA SANA!

una chuki ila hujui kama unayo. Kama huamini rudia kusoma uliyoandika kwenye ktk uzi.huu. Kama msaada zaidi utapauta kwa mshauri nasaha.

Siasa si chuki.
 
Hata kama mtu akikufanyia mabaya usilipe kwa mabaya, hii imeandikwa. Inawezekana baadhi yao wana uwezo mdogo, wengine ni walafi wa mali ya umma, wengine waamnifu lakini waoga kujitoa, wengine hawaamini bila CCM maisha yanawezekana,wengine ni bendera kufuata mkumbo, wengine wako tayari kuwa nasisi wanamageuzi isipokuwa wanaogopa kufanyiwa kitu kibaya nk nk. Tuwaelimishe wajue nchi hii ni yetu wote na yeyote akichemka anawekwa kando wengine wanaongoza na hiyo sio dhambi.
 
Sawa, itafika zamu ya CDM, tutaona mapolisi wanavyohangaika kudhibiti magari yenye namba hizo. Labda TRA sijui nani vile, watazuia zisiandikwe na kurukwa, kutoka CCM ziende CFM. Tena itakuwa inakaribia uchaguzi 2015, watasema ni kampeni ya CDM.
 
una chuki ila hujui kama unayo. Kama huamini rudia kusoma uliyoandika kwenye ktk uzi.huu. Kama msaada zaidi utapauta kwa mshauri nasaha.

Siasa si chuki.

Ni kweli mkuu siasa siyo chuki,lakini kwa hali tuliyofikishwa na CCM ni kosa kubwa kusajili gari kwa
namba zinazoitangaza ccm.Labda uwe kada wa chama, hivyo aliyetoa tahadhali amefanya vema ili
kwa mtu asiyeipenda ccm asubiri hizo namba zipite kwanza.
 
anachokisema sio chuki ni hali halisi ki ukweli tuchukulie wewe ni kijana unapikipiki T ... CCM unataka kuiuza alafu upo maeneo ambayo jamaa hawakubalikiki unategemea nini zaidi ya kuiuza kama spear na what if ni T... CDM Ipo sehemu ambayo nayo haikubaliki the same thing will happen mtoa mada anachosema ni kweli si chuki ametahadharisha ili kila mmoja asome alama za nyakati otherwise inakula kipande yako ba ndugu
 
hapo CDM haipo mbali, nadhani watu watakimbilia hz no.
 
Kwamba watanzania ni wavivu wa kufikiria vitu vipya na vya maana inajidhihiri hapa.
 
Kawaida namba kama hizo huwa zanarukwa kwani zina maana Tayari, mfano hutaona T....MBO, T....TIA,........T... UKE nakadharika

Habari za masiku wana JF? kwa mwana JF mwenye mapenzi mema na Tanzania taarifa hii si ya kupuuza! endapo unataka kusajili No.ya chombo cha motoitakubidi usubiri kwa muda hadi No. hizi zenye historia ya chama kilichotufikisha hapa tulipo ziishe ina maana mpaka vyombo 900 visajiliwe!!! kwani No.za usajili zimefikia T xxx CCM. utakujashindwa kuliuza/kuendesha au laweza kukuletea MATATIZO! SHIME SHIME TUZIGOMEE No.hizo!
 
naporomosha gari nane karibuni kwangu mimi hicho si kikwazo na wanao goma wagome kivyao ha!!kwani nomber hiyo ikiwa kwenye gari ndio iweje??!!!
 
basi usivae kijani usile mboga za majani au zipake rangi nyeupe ili ziwe chadema hata wewe ngozi yako ipake rangi iwe nyeupe majani yote nchi nzima yapake rangi yawe meupe kwani kijani ni rangi ya ccm!!!lete hoja za maana usiwe kama fl flani hivi!!
 
Back
Top Bottom