displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Wajuzi wa mambo na vijambo, heri ya mwaka mpya ulioanza na mabadiliko kiduchu kwenye baraza la wandugu mawaziri!!!!
Naona ni vyema kujulishana nimeshangaa sijaona herufi O katika mtiririko wa namba za magari.
Nilitegemea kabla ya herufi “P” ilipaswa kuanza “O” lakini sijaona gari zenye plate number za T 123 DOA nk ina nimeona zimerukia kwenye T123 DPA.
Mwenye kufahamu hayo mambo atujuze na sisi wengie tujue zaidi kama wao!!!!
Asentini!!!!!
o ni namba i pia ni namba .zinarukwa kuondoa mkanganyiko wa namba na herufiNa I pia ilirukwa... Ilivyotoka tu DH... series DI... ikarukwa ikaja DJ...
Na mimi naomba kufahamishwa kwa wajuzi...
Sent using Jamii Forums mobile app
O na 0 kidogo hiyo inasound... Ila I na 1 mzee?Hata herufi "I".
Sababu ni herufi hizo kufanana na namba.
T 322 VUZ T 322 SEX
pia itafikia sehemu plate namba itakuwa T 730 U*E .hiyo * ni herufi kati ya 'J' na 'L'Itafikia sehemu plate no. Inakua T418 SEX
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na vip T 355 UKE ?Hata herufi "I".
Sababu ni herufi hizo kufanana na namba.
😭😭😭
Hahaa lakini mbona kile chuo cha uhasibu kinatumia kwa kifupi hiyo TIA