Namba ya simu ya Waziri Lukuvi

Namba ya simu ya Waziri Lukuvi

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
387
Reaction score
62
Habari wana JamiiForums,

Naweza vipi kupata number ya simu ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Bw. Lukuvi?

Kuna changamoto ya ardhi mkoani Morogoro ambayo tunahitaji usaidizi wake.
 
Na mimi naomba ya waziri wa Afya, Mwalimu Ummy please email yake kuipata wanajamii...
 
Back
Top Bottom