Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

Namba zote za simu zimefanyiwa usajili. Comrade Waziri "wa kulinda raia na mali zao" wanajf wanataka mchango wako juu ya hili. Je mmiliki wa hiyo namba ameshatakiwa kulisaidia jeshi la polisi kwenye upelelezi, uchunguzi?

Lakini aliyempigia simu ni rafiki yake! Naam rafiki akimtonya! Sasa ni nani alikuwa rafiki yake hadi kwenye familia?? Jibu hatuna????
 
Umetafakari kwa kina. Ubarikiwe
 
Nchi yetu haijafikia huko wakuu, tuache kutiana hofu bila sababu!
 
KWA HIYO SERIKALI NDIO IMEANDIKA HII MASSAGE, SERIKALI NINI??? YAANI IYO MESSAGE PENGINE ALITUMIWA TUU ILI KUPOTEZA MWELEKEO NA KINACHONDELEA, HAKUNA SERIKALI INAYOMTISHIA MTU KWANI UKITAKIWA HATA HAWATAANGAIKA KUKUTISHA, WANAKUBEBA TUU KAMA MWEWE BILA KUJUA NI NANI KAKUBEBA,

WATU WAACHE KIJIFICHA KWENYE KIVULI CHA SERIKALI, KWANI KWELI BEN ANAWEZA KUYUMBISHA SERIKALI YENYE JESHI, USALAMA WA TAIFA, VIFARU IKAMTISHIE MTU AMBAYE HATA SI CHOCHOTE, ACHENI HAYO MAMBO JAMANI
ndio.

swissme
 
Lakini aliyempigia simu ni rafiki yake! Naam rafiki akimtonya! Sasa ni nani alikuwa rafiki yake hadi kwenye familia?? Jibu hatuna????
Ni Mwigulu Nchemba hata yeye mwenyewe alisema bila kigugumizi kuwa alikuwa akiwasiliana na Ben hadi wiki hiyo aliyepotea! Na hadi familia ya mwigulu inamjua Ben saanane!! Need you dig mo?
 
Kati ya vitu vinavyokera ni kutumia maandiko katika mambo ya kipuuzi.. SWALI LANGU NI KWAMBA KWANINI CHADEMA MNAPENDA KUTUMIA MAANDIKO YA BIBLIA MUDA WOTE...??? KWANINI MSITUMIE NA QURAN TUKUFU PIA.. IT SEEMS LIKE NYIE NI WADINI SANA KULIKO SIASA...
Mnakera sana.. wapumbavu wakubwa nyie.. keep separate btn religion and political matters... Do supply fact on political issues USING POLITICAL LANGUAGE and not those quotation from the holy BIBLE... Mnawafanya watu wawaone kuwa ni chama cha kidini... ABSOLUTELY STUPIDITY... ONDOENI HIZI MAMBO ZENU BHANA..
chadema ni chama cha kikristo
 
Kwa msaada, hii post aliiandika ben saananeView attachment 449297
kwa akili zako fupi unataka kusema hiyo sms ametumiwa na mtu wa serikali? hahaha kweli chadema ni chama cha malofa...hivi kweli kuna mtu kweli anaweza fanya ufala kama huo? hivi mtu apange kumzuru mtu alafu amtumie sms ya kumtisha....hahahah hizi massage mnatumiana wenyewe halafu mnajidanganya hahahhahaha

Mbowe anajua Ben alipo
 
Sitajadili kitu chochote kuhusu Ben.sitaki kuudhi upande mmoja na kufurahisha mwingine kivyovyote.mengine ntajadili.
 
Safari inaendelea. Vitisho.Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku.Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko

Kuna watu hawa miongoni mwa wengi .Yeye anaandika " Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata.Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu .You are too young to die. Tunajua utaandika na hili.Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha.Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia.Andika Ben.Andika sana ,ongea.Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"

He's such a coward.Muoga.Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu

Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.

Haya tunasonga mbele Watanzania.Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.

As long as tupo hai,Sauti zetu hazitakoma.Tutaandika,Tutasema,Tutahutubia na tutafanya vitendo

Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai,watesaji,wakandamizaji wa haki.Watetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji,unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani

Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania.Nina Mwaka Mmoja bado .He faught the right cause.Alikuja Duniani kimungu.Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu.Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake.Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake?Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.

Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki.Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo,nikapona kwa fadhila zake Muumba.Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu.Wanajisumbua!Nimeishi beyond that favour

Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania.I love you more than words can wield the matter,dearer than eyesight,space and Liberty.Oh I love you Tanzania.My Pride ,My fountain of inspiration."

Mlale salama marafiki zangu wapendwa.

Mapambano na Yaendelee,Ushindi U Dhahiiri(Aluta Continua,Victory Ascerta)

Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo.Hukukopa,Ulijiandaa kulipa gharama.Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.

Ben Saanane

NB:

Ndugu Mwigulu aje hapa na atwambie amefanya juhudi gani kufwatilia hii namba iliyomtishia maisha Ben Saanane.

Kama taarifa iliripotiwa police na kukatiwa RB, wamechukua hatua gani tangu kipindi taarifa ilivyotolewa hadi kupotea kwake?

Dola isituzunguke. Itwambue Ben Saanane yupo wapi na wasijaribu kutupoteza maboya kwa kumshikilia Lissu

#WeNeedBenAlive#
Hawajui
Nasema hawajui
Tena hawajui kweli kuwa hakuna Giza kwa Mungu kama
Mungu aliruhusu samaki kumeza Yona na kuwa nae kwa siku tatu
Hawajui nasema tena hawajui Mungu

Kina kipindi Mungu hutumia watu kuwakomboa watu hawezi kunyamaza kana kwamba hayupo

Hawajui waambie hawajui Kiongozi wao anaomba tumwombee OK nasi tunaomba ila hatuombi kama matarajio yake sisi tunaomba haki ya Kimungu

Hawajui hawajui Mungu hadhihakiwi wakamulize
Farao
Wakamulize Nebukadreza miaka mingapi kule polini pamoja na wanyama tena wanyama poli hawajui
 
Safari inaendelea. Vitisho.Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku.Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko

Kuna watu hawa miongoni mwa wengi .Yeye anaandika " Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata.Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia.Hujiulizi kwanini upo huru hadi muda huu .You are too young to die. Tunajua utaandika na hili.Andika lakini the next post hutaandika ukiwa na uhuru wa kutosha.Andika but your days are numbered. Unajua kuna rafiki yako alipuuza na hutaki kuandika kuhusu yeye labda kwa kuwa alitangulia.Andika Ben.Andika sana ,ongea.Sema lakini utajikuta mwenyewe na chatu"

He's such a coward.Muoga.Muaji anayejitangaza nae ana hofu tupu

Nimemshukuru lakini nimemjibu kwa namba yake hii 0768797982 ambayo ipo polisi.

Haya tunasonga mbele Watanzania.Kama ni Uchochezi sidhani kama upo uchochezi mkubwa zaidi ya huu.

As long as tupo hai,Sauti zetu hazitakoma.Tutaandika,Tutasema,Tutahutubia na tutafanya vitendo

Kitu kimoja tu cha hakika ni kuwa Damu ikimwagika hasa damu ya kimapinduzi hutoa mvuke utakaonyesha na kutiririsha mafuriko katikati ya mito na vijito vya haki. Kama itanyesha mvua ya Radi basi itaambatana na mwanga na cheche zitakazowamulika walaghai,watesaji,wakandamizaji wa haki.Watetezi wa haki watapata mwanga katikati ya giza tororo la Unyanyasaji,unafiki na ubakaji wa taaluma na dhamiri zao kitaaluma na kiimani

Yesu Kristu aliishi miaka 33 tu duniania.Nina Mwaka Mmoja bado .He faught the right cause.Alikuja Duniani kimungu.Kila mtu anaishi kutokana na makusudi ya Mungu.Mwenyezi Mungu huruhusu kila jambo kwa makusudi yake.Sisi ni akina nani tukatae makusudi yake?Hatukujileta Duniani na hatutaishi milele.

Wasichojua watu hawa ni kuwa nilizaliwa na kubatizwa hatari siku hiyohiyo kama Mkatoliki.Ubatizo wa kifo(Hatari) 13 Desemba miaka hiyo,nikapona kwa fadhila zake Muumba.Nimepata fadhila sana Machoni pa Mwenyezi Mungu hadi muda huu.Wanajisumbua!Nimeishi beyond that favour

Oh nakupenda mpenzi wangu Tanzania.I love you more than words can wield the matter,dearer than eyesight,space and Liberty.Oh I love you Tanzania.My Pride ,My fountain of inspiration."

Mlale salama marafiki zangu wapendwa.

Mapambano na Yaendelee,Ushindi U Dhahiiri(Aluta Continua,Victory Ascerta)

Pumzika kwa amani Rafiki yangu kipenzi Alphonce Mawazo.Hukukopa,Ulijiandaa kulipa gharama.Ukalipa Deni. Tunasonga Mbele! Nitalitaka Jeshi la Polisi liunganishe ujumbe uliotumwa na kifo chako katika hatua za uchunguzi.

Ben Saanane

NB:

Ndugu Mwigulu aje hapa na atwambie amefanya juhudi gani kufwatilia hii namba iliyomtishia maisha Ben Saanane.

Kama taarifa iliripotiwa police na kukatiwa RB, wamechukua hatua gani tangu kipindi taarifa ilivyotolewa hadi kupotea kwake?

Dola isituzunguke. Itwambue Ben Saanane yupo wapi na wasijaribu kutupoteza maboya kwa kumshikilia Lissu

#WeNeedBenAlive#
Registered name of the number is Emanuel Joseph. Any mark of the person?
Itafikia mahali tuwatafute wenyewe ndiko wanakotupeleka!?
 
Kuishi ni Kristo kufa ni faida

Zamani wakati nakua nilikuwa nadhani ukimuua mwenzako hufi lkn kumbe ,,,,,,,,

Wauwaji
Wachawi
Watesaji
Magaidi oooooo nao watakufa
 
Back
Top Bottom