Namba ya ananilea nkya

Namba ya ananilea nkya

karekwachuza

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
999
Reaction score
335
wadau habari zenu.naombeni mtu yeyote mwenye namba za huyu mama maana nina shida muhimu sana.namaanisha namba za simu ya mkononi
 
namba haijakamilika mbona?naomba uiangalie upya halafu unitumie tena

Wanajamii folum acheni masihala nyie amjui mwenzenu ana shida gani labda anaitaji msaada wa kisheria katika mambo ya msingi nyie mnafanya utani wengine wana matatizo makubwa sana . Sasa kama wewe unatoa namba za utani kama auna si ungepita tu kimya kimya
 
jamani tujifunzeni kuwa wawazi na tuache utani usio na maana.mtu anafanya utani kwenye mambo ya maana.kweli sijafurahishwa na kutumiwa namba za uongo
mwenye nazo anipatie basi?
 
Back
Top Bottom