ErickjrJunior
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 328
- 78
- Thread starter
-
- #21
kma inshu ni namba useme mbna nakupa na hata kabla kuna mtu alikosea akanitumia credit then akanipgia that amekosea nimrudishie na nilimrudishia inshort sinaga time na vitu vya mtuerickjunior Karibu JF sitaki kuamini Kama hujui utaratibu wa kufuata kwenye ishu Kama hiyo.. Iweke wazi hiyo number tukusaidie kumtrace mwenyewe la sivyo hii yaweza kuwa story ya kutunga
kma inshu ni namba useme mbna nakupa na hata kabla kuna mtu alikosea akanitumia credit then akanipgia that amekosea nimrudishie na nilimrudishia inshort sinaga time na vitu vya mtu
nikikupa nani atakua mwenye dhambi?? niliekupa pesa za watu au aliepokea pesa za watu??Nipe mimi bana achana na huyo best wako
Wandugu juzi mchana kuna namba imetuma pesa kwenye airtemoney yangu, imeanza kutumwa shs.1,00000, kisha kma baada ya dk 1 ikatumwa shs.50,000.
Mtumiaji simfahamu ni namba ngeni kwangu, nikajua moja kwa moja amekosea namba.
Mikatulia ningoje anipgie aanzee kujielezea jinsi alivyokosea na kutaka nimrudishie hizo pesa.
Wandugu ilikua mida ya saa tisa mchana mpka sasa hiyo namba aijanitafuta kwa vyovyote mpka sasa!
Na pesa zote bado ninazo kwenye airtel money, sasa sielewi imekuaje hi?
Nimejaribu kuiifatilia namba iliotuma pesa nimegundua sina uhusiano nayo kwa vyovyote sielew maana yake wakuu.
Hii ndio naisikia kwako mkuu.Una roho ya pesa wewe na zinakupenda in short ni mvuto wa aina fulani hivi
iseee......
Gharama inakuja na iko njiani unaalikwa moja kwa moja na fisadi Lowasa kwenye maandamano ya kufanya fujo na kufanya nchi isitawalike, hivyo kama kweli unajipenda usiitumie na iweke Benki mpaka muda mwenyewe atakuja na usipokubaliana naye basi umrudishie tu!
Aiseee....kuna mshkaj amenitait mbayaaaa nizitoe nimpe ana hitaji. anadai ikitokea aliezituma akazitaka, atalipa.Hiyo ni bahati yako mkuu
Aiseee....kuna mshkaj amenitait mbayaaaa nizitoe nimpe ana hitaji. anadai ikitokea aliezituma akazitaka, atalipa.
Itakuwa ni mimi hebu unitumie nione km ni zenyewe.
akikustua unijulisheAkikutumia nistue
akikustua unijulishe
Hapatikani, na sifahamu kma nikimtumia akiwa apatikan atazipata au? maana mimi si mtumiaji sanaa wa mobile money mara chache sanaa.Mrudishie mwenyewe hela zake
Sio tigo, ni airtelmoney. na leo inakua siku ya 4 bila mhusika kujulikana na apatikani.ushauri wangu. hiyo hela usiitumie tigo wataichukua watamrudishia.
inaweza ikawa ni mtu uko nae mtaani au ofisini anaangalia uaminifu wako
Nilimtext, akujibu!! nikapga badaee akupokea kurudia kupiga, apatikani mpka leo!!Huna nia njema kwanini usimpigie ukamuelewa?