Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,329
- 289,343
Sajili brela kabisa hilo jina kama inawezekana.Nitafungua bar nitaiita 623
Kila la heriNitafungua bar nitaiita 623
Mungu amekusudia jamboHistoria inaandikwa
Hukumu ya Lissu mwisho wa ccmIshukruni serikali imewapa dili la kuchapisha tsheti mpate hela....yaani tecdema mmeishaona fursa?
Yes Numerologically 11 ni Master Number.Namba 623 kinajimu ni namba inayomaanisha wito wa kusimama kidete kwa umoja na mshikamano wa jamii, kutumia nguvu ya mawasiliano ya wazi na ushawishi wa kisiasa kudai haki, na kulinda maslahi ya wananchi kwa misingi ya uwajibikaji na amani πππ
Hii namba ameomba ni special namba au mbona imekaa kiutamu sana? Ila Kuna mzee mmoja anatembeaga upande kama kavunjwa kiumo na mkono wale sjui ulivunjwa!! Ana wivu sana hata namba iyo ataona wivu na kuita vyombo vya habar kuizungumzia ,yaan kila jambo linalo Trend anataman awe yy!! Naisi hata aliona jeneza limebeba maiti ambayo ni maarufu anataman awe yy !! Kila kitu lazma arukie na kujidai anakujua wakat ni kichwa uharoHii ndio namba ya Shujaa Tundu Lissu aliyopewa kama Mfungwa huko Gerezani
Tunaangalia uwezekano wa kushauriana na kiwanda Kimoja cha nguo huko Thailand (Tuna koneksheni) ili kutengeneza Fulana au Magwanda yenye Nembo hiyo na Picha yake
Endelea kutufuatilia
Yule ni kichaaHii namba ameomba ni special namba au mbona imekaa kiutamu sana? Ila Kuna mzee mmoja anatembeaga upande kama kavunjwa kiumo na mkono wale sjui ulivunjwa!! Ana wivu sana hata namba iyo ataona wivu na kuita vyombo vya habar kuizungumzia ,yaan kila jambo linalo Trend anataman awe yy!! Naisi hata aliona jeneza limebeba maiti ambayo ni maarufu anataman awe yy !! Kila kitu lazma arukie na kujidai anakujua wakat ni kichwa uharo
Nywele huwa zinaota, lakini haki inapiganiwaKwahiyo wamemnyoa zile rasta zake. Duh!
Ndugu Mtaalam tunakushukuru kwa Unajimu KabambeNamba 623 kinajimu ni namba inayomaanisha wito wa kusimama kidete kwa umoja na mshikamano wa jamii, kutumia nguvu ya mawasiliano ya wazi na ushawishi wa kisiasa kudai haki, na kulinda maslahi ya wananchi kwa misingi ya uwajibikaji na amani πππ
Hii ndio namba ya Shujaa Tundu Lissu aliyopewa kama Mfungwa huko Gerezani
Tunaangalia uwezekano wa kushauriana na kiwanda Kimoja cha nguo huko Thailand (Tuna koneksheni) ili kutengeneza Fulana au Magwanda yenye Nembo hiyo na Picha yake
Endelea kutufuatilia