Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 80
- 96
Habarini mabosi! Nitajieleza kama muhusika ili iwe rahisi kueleweka. Mfano, nimezaliwa 2000, cheti cha kuzaliwa kipo,kadi ya kliniki ipo.
Bahati nzuri ama mbaya nikapata fursa ya kazi mwaka 2017 kabla sijatimiza miaka 18 ili kupata kazi. Nikaamua kubadili cheti na kuwa 1999 badala ya 2000, nikajipatia na NIDA kabisa.
Sasa nashindwa kuendelea na umri feki nahitaji kubadili NIDA niende na cheti halali. Je, naweza kufanikisha hilo? Na taratibu zipi za kufata?