Daktari wa Manchester JF-Expert Member Joined Jun 1, 2020 Posts 350 Reaction score 407 Dec 5, 2021 #61 Lokonga said: Jumapili ya Bwana. Naomba tujuzane Yesu alifunga siku 40. Elia alifunga siku 40. Siku za mwizi ni 40. Waisraeli walitembea miaka 40. 40 ya marehemu? Hii namba 40 ina nini?? Wajuvi wa mambo mtujuze Click to expand... Namba 12 pia naona imeappear mara nyingi
Lokonga said: Jumapili ya Bwana. Naomba tujuzane Yesu alifunga siku 40. Elia alifunga siku 40. Siku za mwizi ni 40. Waisraeli walitembea miaka 40. 40 ya marehemu? Hii namba 40 ina nini?? Wajuvi wa mambo mtujuze Click to expand... Namba 12 pia naona imeappear mara nyingi
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,763 Reaction score 2,822 Dec 10, 2021 #62 Kingfisher said: Aloooo hawa jamaa wana stress Click to expand... Yaani hilo ndio jibu sahihi kabisa kwa hawa viumbe…. Stress!!! Japo watakataa.
Kingfisher said: Aloooo hawa jamaa wana stress Click to expand... Yaani hilo ndio jibu sahihi kabisa kwa hawa viumbe…. Stress!!! Japo watakataa.
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,763 Reaction score 2,822 Dec 10, 2021 #63 Daktari wa Manchester said: Namba 12 pia naona imeappear mara nyingi Click to expand... Mitume 12 Miezi 12 Masaa 12 Makabila 12 ya Israel
Daktari wa Manchester said: Namba 12 pia naona imeappear mara nyingi Click to expand... Mitume 12 Miezi 12 Masaa 12 Makabila 12 ya Israel
Daktari wa Manchester JF-Expert Member Joined Jun 1, 2020 Posts 350 Reaction score 407 Dec 10, 2021 #64 Ndombwindo said: Mitume 12 Miezi 12 Masaa 12 Makabila 12 ya Israel Click to expand... Umeona ee ndo mana Huwa najiuliza inamaana gani
Ndombwindo said: Mitume 12 Miezi 12 Masaa 12 Makabila 12 ya Israel Click to expand... Umeona ee ndo mana Huwa najiuliza inamaana gani
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,548 Reaction score 9,702 Dec 10, 2021 Thread starter #65 Ndombwindo said: Yaani hilo ndio jibu sahihi kabisa kwa hawa viumbe…. Stress!!! Japo watakataa. Click to expand... mimi sikatai
Ndombwindo said: Yaani hilo ndio jibu sahihi kabisa kwa hawa viumbe…. Stress!!! Japo watakataa. Click to expand... mimi sikatai
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,680 Reaction score 3,833 Jul 1, 2025 #66 Smart911 said: Haina chochote... Click to expand... ina maana yake mkuu, ile namba 40 ni #CODE. maana yake ni wakati wa subira ama wakati mgumu. haimaanishi lazma siku ziwe 40 tu.
Smart911 said: Haina chochote... Click to expand... ina maana yake mkuu, ile namba 40 ni #CODE. maana yake ni wakati wa subira ama wakati mgumu. haimaanishi lazma siku ziwe 40 tu.