Bila kusahau life begins at 40Jumapili ya Bwana.
Naomba tujuzane
Yesu alifunga siku 40.
Elia alifunga siku 40.
Siku za mwizi ni 40.
Waisraeli walitembea miaka 40.
40 ya marehemu?
Hii namba 40 ina nini??
Wajuvi wa mambo mtujuze
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Bila kusahau life begins at 40
“Do not correct a fool, or he will hate you; correct a wise man, and he will appreciate you.” – UnknownAisee wewe kweli mende, unaoneshwa makosa ya kimantiki unakatakata mauno hapa,
Umerejea wapi kiongozi, i mean source, hii elimu ya namba inafundishwa wapi na kwa level gani?Kwa watu wa kawaida hiyo ni 40, lakini kwa wenye elimu ya namba hiyo ni 4.
40=4+0=4
4000=4+0+0+0=4
4 ina maana ya jiwe la msingi, maandalizi kabla ya kwenda hatua inayofata.
Hivyo 4 ni ujenzi wa misingi mipya, ndio maana unaona baada ya hizo 40 kunakuwa na uelekeo mpya.
Ndugu haya elimu ya namba (numerology) mimi uwa najifunza mwenyewe tu kupitia vitabu na machapisho ya kwenye mitandao.Umerejea wapi kiongozi, i mean source, hii elimu ya namba inafundishwa wapi na kwa level gani?
Typing error kwa neno lipi hapo?typing error tuu
usilete upimbi hapa
imeshakuwa edited mkuuTyping error kwa neno lipi hapo?
Maana mmeshikana mashati, mmebiringishana kwa mitusi hadi basi, lakini nikilifuatilia hilo neno, waalah silioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
typing error tuu
usilete upimbi hapa
Kwako typing error waona ni jambo dogo na halibadili maana? Kenge pori wewe
Aiseee! Kumbe tafsiri ya miaka arobaini ni Kenge pori, miuno ya Mende, matako ya ngiri….
SawaHaina chochote...