Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,547
- 9,698
typing error tuuHiyo namba moja fafanua, alifunga miaka 40 aliishi miaka mingapi?
Kwako typing error waona ni jambo dogo na halibadili maana? Kenge pori wewetyping error tuu
usilete upimbi hapa
unataka niamini kama unavyotaka wewe?Kwako typing error waona ni jambo dogo na halibadili maana? Kenge pori wewe
Aisee wewe kweli mende, unaoneshwa makosa ya kimantiki unakatakata mauno hapa,unataka niamini kama unavyotaka wewe?
Matako ya ngiri wewe
aisee wewe kweli pimbiAisee wewe kweli mende, unaoneshwa makosa ya kimantiki unakatakata mauno hapa,
Pole mkuutyping error tuu
usilete upimbi hapa
hahahaha ni stress tuu mzeeAiseee! Kumbe tafsiri ya miaka arobaini ni Kenge pori, miuno ya Mende, matako ya ngiri….
weka mikono mbele kaka twende sawaPole mkuu
Msangarufu ni yule yule wa Mbeya au tungoje mwingine?hahahaha ni stress tuu mzee
Mwache mwenzio azibe mali ghafi.weka mikono mbele kaka twende sawa
Siku 40 sio miaka 40Hiyo namba moja fafanua, alifunga miaka 40 aliishi miaka mingapi?
huyu hata mbeya hajafikaMsangarufu ni yule yule wa Mbeya au tungoje mwingine?
Teh mkuu hii ni asubuhi, usichukulie serious baadhi ya mambo, hawa viumbe ndivyo walivyo tunaenda nao kwa kiasi cha akili zaoAiseee! Kumbe tafsiri ya miaka arobaini ni Kenge pori, miuno ya Mende, matako ya ngiri….
kweli kakaAcheni kutukanana basi jamani tupo kww watu humu.
Mkuu mbona una maneno ma-ngumu kumeza ivyo? Du nimehakiki nilichoandika hapa mara 3 kabla ya kupost yasije kunikuta na mimi.Kwako typing error waona ni jambo dogo na halibadili maana? Kenge pori wewe
Sawasawa mkuu, na huu ndio mwendoSiku 40 sio miaka 40