Roving Journalist JF Roving Journalist Apr 18, 2017 2,812 11,989 Aug 5, 2020 #1 Mgombea wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Leopold Mahona, amekuwa wa tatu kuchukua fomu ya NEC kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wake mwenza ni Hamid Ally Hassan.
Mgombea wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Leopold Mahona, amekuwa wa tatu kuchukua fomu ya NEC kwa ajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wake mwenza ni Hamid Ally Hassan.