Ha ha ha ha haaaah, mkuu naona leo hii kero umeamua kuitolea uvivu, mi mda si mrefu nitatupa line yao kwa sababu hawana dili sasa hivi baada ya kutoa vifurushi vya mtandao mingine, sasa wamebaki kutumia masms yao ya ajabu ajabujamani namba hii 15544 imekuwa kero. Yaani kama simu yako haina uwezo wa ku-Block number basi utateseka sana. kuna namba nyingine pia ya Tigo nayo inasumbua kichizi. Dawa tu ni Kuweka Auto Reject / Blocked List