Naliona giza baada ya mwezi wa 10

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,402
Reaction score
17,123
Kinachoenda kutokea ni kama tumejifungia chumba kimoja na chui halafu tunatumia vibaya risasi zinaelekea kuisha halafu chui bado hajafa, last bullet

Yani kuanzia hapo mwezi wa11 katikat mambo yatakua magumu sana kama tutashindwa kummaliza maana chui aliejeruhiwa nae atataka kuwakomesha mliomjeruhi.

Ikishindikana nataka nikatafute maisha malawi au zambia hapa bongo patakua pamoto sana haijawahi kutokea.

Na moto wake utatuunguza sisi na machawa hautaacha kitu kwa ground.
 
Hamna lolote wasiwasi wako tuu watanzania bado hawajafikia huko woga umetamalaki
 
Reactions: Lax
Mkuu Utanipitia uyole apa kama tunaenda kasumuru Malawi au nakonde Zambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…