IDEGENDA Ipi mkuuHiki kng'amuzi huenda kikakosa soko kabisa, kwa sababu huku mitaani madishi yanongeza kila iitwapo leo,. Na madishi yenyewe ni ya Azamtv.
Mbali na hivyo nimefanya uchunguzi wangu, katika kila nyumba 10 zenye vinga'amuzi vya startimes, 8 kati yao hawalipii zile gaharama za kila mwezi. Hivyo wanaishia kuangalia local chanel tu, sijui watajiendeshaje sasa kwa hali kama hii. Naliona anguko la startimes.
IDEGENDA Ipi mkuu
Startimes ni semi-digitali...! Hizi Antenna zao za "kugeuzia Kisarawe" nazo ni janga la kidigitali...!
AZAM TV nasikia haionyeshi ITV.EATV na CAPITAL TV.ni kweli? naishi umbali wa km 40 toka mjini Dodoma je nitashika?