Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 344
- 306
Kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la kalenga zimeanza huku chadema wakizindua kampeni zao jana uzinduzi uliofanywa na katibu mkuu wa chama hicho Dk Wilbrod Slaa.
Ni kampeni zitakazochukua muda wa wiki tatu huku picha zilizo katika baadhi ya magazeti yakionyesha umati wa watu ukishiriki katika uzinduzi huo
Ni umati unaoridhisha ukiuangalia kwa macho tena unaleta marimaini
Bahati mbaya wengi walio katika umati huo si wapiga kura wa kalenga na wengine wakiwa wametoka Dar
Kama hali hiyo ya mkusanyikovitaendelea na cdm kutokufanya jitihada za kuwahamasisha wanakakenga wenye shahada ya kupiga kura kukipigia chama hicho ni wazi ushindi utakuwa mgumu kwao,hali jama hii pia ilijitokeza katika uchaguzi mdogo wa kata ya magomeni bagamoyo ambapo waliotoka Dar walikuwa wanahudhuria zaidi mikutano ya kampeni kuliko wapiga kura ni wakati wao wa kuliangalia hili kabla mambo hayajaharibika