Nakwenda Hijja Inshallah

Bwana Yesu akutangulie...!

Neema ya Bwana wetu YESU, na UPENDO WA MUNGU BABA MWENYEZI, NA USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU VIWE NAWE DAIMA!- AMINA.
 
bwana yesu akutangulie...!

Neema ya bwana wetu yesu, na upendo wa mungu baba mwenyezi, na ushirika wa roho mtakatifu viwe nawe daima!- amina.

haleluyaa!.
 
Kila la kheri, inshaallah Allah yu pamoja nanyi
 
Kuwa makini tu wakati 'wanapomponda shetwani' wasije wakakuponda na wewe

Mkuu October,
Hivi ni shetani wa aina gani huyo anayeweza kupondwa kwa mawe? Hakika madrasa ni mbaya kuliko. Mhhhh!
 
Bwana Yesu akutangulie...!

Neema ya Bwana wetu YESU, na UPENDO WA MUNGU BABA MWENYEZI, NA USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU VIWE NAWE DAIMA!- AMINA.

Nimesha mtangulia yeye amechelewa kidogo lakini Inshallah bila shaka tutaonana.

Naomba Mola aniepushe na Roho Mtakatifu.
 
tahadhali kuna mafua ya nguruwe huko, lakini mbona majina yako magumu sana. mmh huna hata jina moja la kibantu. haya nisikuchimbe sana, ukatubu dhami ya kudanganya jina lako muda mrefu japo leo umetutajia.
 
Nimesha mtangulia yeye amechelewa kidogo lakini Inshallah bila shaka tutaonana.

Naomba Mola aniepushe na Roho Mtakatifu.

Angalia usikanyagwe kama nyasi huko!...Bila roho Mtakatifu

Makka ni kama msikiti wa Sombetini kwa Shekhe Kitumbo,

na bila Yesu kuhiji ni kama kucheza dimbadimba au Nage!

Bear in Mind pal!
 
Ni wapi nilipokwambia au kukudanganya jina langu. Weka mambo hadharani ni jina gani nililokwambia kuwa ni jina langu.

Naomba ufafanuzi au niombe radhi kwa kunisingizia.
 
tahadhali kuna mafua ya nguruwe huko, lakini mbona majina yako magumu sana. mmh huna hata jina moja la kibantu. haya nisikuchimbe sana, ukatubu dhami ya kudanganya jina lako muda mrefu japo leo umetutajia.

Vile vile NOTE that mimi ni MWARABU wa asli ya OMAN ingawa ni raia wa Tanzania. na hata wake zangu wote wawili ni waarabu ikiwa pamoja na kizazi changu chote.
 
Angalia usikanyagwe kama nyasi huko!...Bila roho Mtakatifu

Makka ni kama msikiti wa Sombetini kwa Shekhe Kitumbo,

na bila Yesu kuhiji ni kama kucheza dimbadimba au Nage!

Bear in Mind pal!

Eeh Allah niepushe na huyu Roho Mtakatifu na nifanyie wepesi katika hija yangu pamoja na jamii yangu.

Roho Mtakatifu...SHINDWA SHINDWA na Ulegee
 
bora utakutana na waarabu wa huko ila nakushauri usipitie mombasa mwanangu waarabu wa kule nomaaaaa....kazi kwako
 
Eeh Allah niepushe na huyu Roho Mtakatifu na nifanyie wepesi katika hija yangu pamoja na jamii yangu.

Roho Mtakatifu...SHINDWA SHINDWA na Ulegee

Bosi wako mzee Mwamedi anamtambua Roho Mtakatifu, itakuwa ya wewe?
"....Nami kabla sijaifikia Pepo, Naikurubisha roho yangu katika mikono ya Issa Ibn Mariam(yaani Yesu-Kristo)....Mwamedi"
 
sikuombi radhi kwa maana mwenyewe ulihide identy na ukasema kama kama tunasikia tetesi basi wewe ndo mwenye majina hayo yakiarabu, ambayo mimi siwezi kuyatamka .
 
badala ya kutafuta utakatifu unatafuta laana....umeishiwa ndugu alaaniwe allah kwa kuendelea kuwapotosha watu wa Mungu.Maana Mungu na allah ni tofauti kabisaaaa
Nimesha mtangulia yeye amechelewa kidogo lakini Inshallah bila shaka tutaonana.

Naomba Mola aniepushe na Roho Mtakatifu.
 
Bosi wako mzee Mwamedi anamtambua Roho Mtakatifu, itakuwa ya wewe?
"....Nami kabla sijaifikia Pepo, Naikurubisha roho yangu katika mikono ya Issa Ibn Mariam(yaani Yesu-Kristo)....Mwamedi"
Ingawa anamtambua , Yesu wa Biblia sio Issa wa Quran.
 
Audhu Billahi mina shaitwani Rajiimi.

Ukiwa Makka ndo useme maneno hayo, maana kule ndo shetwani anapigwaga mawe ya pua live...tehe..te..heee!

Kwa wasioelewa, huyu bwana anamwomba Ndugu Mwamedi amkinge na Shetwani (shetani).

Sasa kama bwana Mwamedi anaweza kukukinga na shetwani, yaonyesha wazi kwamba yeye anawajua saaana mashetwani hao, na ndo maana ana uwezo wa kuyashauri yakae mbali na mwanzisha thread!...inatisha!
 
Kama hujui uliza uambiwe.

Namuomba Allah anikinge na nguvu za shetani. Sijamuomba na wala sita muomba Mohammad S.A.W kwa lolote. Mimi namuomba Allah pamoja na waislamu wote tunaomba Allah.

YAA ALLAH NIKINGE NA HAWA MASHETANI wnaotaka itia dosari safari na hatimae Hijja yangu.
 
.

Hafif, Inshallah kwa uwezo wake Allah utakwenda, utahiji na kurudi salama usalimini na Allah ataipokea hija yako na jamii yako pia. Hii ni mitihani midog midogo, Mtangulize Allah kwa kila jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…