Nakutengenezea Blog kwa TZS 3,000/= 30 days offer!

Nakutengenezea Blog kwa TZS 3,000/= 30 days offer!

Abdallah404

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
61
Reaction score
21
Natengeneza BLOG ZA WORDPRESS kwa TZS 3,000/=(Elfu tatu tu) na kukufanyia settings zote za subdomain: mfano www.abc.wordpress.com.

Natengeneza Animated web banner,kwa wale wanaotaka kuweka matangazo kwa TZS 1000 tu.

Nafundisha kwa njia ya email Jinsi ya kuweka text link,image link,kuandika kwa rangi tofauti katika blogs za WORDPRESS kwa TZS 3,000 Tu.

Check me abdahemedi@gmail.com

KUMBUKA: BLOG NTAKAYOKUTENGENEZEA UNAWEZA KUTUMIA HATA SIMU KUIENDESHA. MFANO BLOG YANGU NUFAIKA BLOG NAIENDESHA KWA KUTUMIA SIMU NDOGO KABISA TECNO T605.
=======

<UPDATE>

Karibu katika ofa hii katika msimu huu wa sikukuu

Kwa gharama ya Tsh 20,000/= tu utafanyiwa yafuatayo.

1.Utatengenezewa Blog ya Blogger(blogspot) au Wordpress,Chaguo ni lako.
2.Tunakufanyia:design katika blog yako na kukuwekea muonekano wowote unaoutaka.
3.Tutakuwekea Menu na Gadgets/Widgets unazozitaka.
4.Utatengenezewa Na logo yoyote unayoitaka kwa ajili ya kuweka kwenye Blog yako.

Tano: Utazawadiwa kitabu chenye thamani ya Tsh Elfu TANO (wewe utapatiwa kama zawadi) kinachoitwa Jiingizie Kipato militia's Blog,ambacho kitakupa msaada mkubwa katika kuindesha blog yako.

Tunakusudia kukunufaisha!

AGIZA SASA KUPITIA 0768 449 989.Text me au Nitafute WhatsApp kwa namba hiyo hiyo.[/QUOTE]
 
Nimeipenda hii mkuu. Ila nataka kujua km ukiwa na blog unapata faida zipi? Je, unaweza kupata pesa kupitia blog?
 
Natengeneza BLOG za wordpress,Subdomain,na kufanya settings zote muhimu kwa TZS 3,000/= TU.
¤Natengeneza "Web Animated banner" kwa wanaotaka kuweka matangazo kwa TZS 1000/=

check me abdahemedi@gmail.com or search 0672999266<Abdallah Hemedi facebook.
 
Nakutengenezea blog ya Wordpress na Mywapblog,subdomain.na kufanya settings zote muhimu
Utaweza kuendesha blog yako hata kwa kutumia simu ya mkononi,
Utapatiwa maelezo ya awali ya kuiendesha blog yako.
Utapata msaada wa kuiendesha blog yako kila siku kuanzia 12:00 asubuhi hadi saa 4:00 usiku(LIVE CHAT).
2. PIA Natoa mafunzo kwa NJIA YA EMAIL, Ya jinsi ya kuweka text link,image link,kuandika kwa bold,kupigia mstari maandishi,kuandika kwa rangi tofautitofauti katika blog za Wordpress,na Mywapblog,MAFUNZO HAYA NI kwa muda wa siku 7 Kwa TZS 3,000 elfu tatu tu.
check me now! abdahemedi@gmail.com or Voda:0768449989/
tigo:0672999266
 
KARIBU USOME KITABU HIKI KITAKACHOKUWEZESHA KUJIINGIZIA KIPATO KUPITIA BLOG.Kujiingizia kipato kupitia Internet sio swala geni katika Ulimwengu huu wenye Maendeleo makubwa ya Sayansi na Teknolojia.INTERNET Imefungua Ukurasa mpya wa ajira kupitia Mtandao,inayomwezesha mtu kufanya kazi sehemu yoyote ile yenye kuwa na Mtandao wa Internet.Kuna njia nyingi unazoweza kutumia kujiingizia fedha kupitia INTERNET.

SWALI NA WASIWASI WALIONAO WATU NI

Je, inawezekana kweli kujiingizia kipato kupitia Internet?

Jibu: NDIO INAWEZEKANA KABISA KUJIINGIZIA KIPATO KUPITIA INTERNET TENA BILA YA SHAKA YOYOTE.

KIKWAZO KIKUBWA Ni JINSI GANI UNAWEZA KUJIINGIZIA KIPATO KUPITIA INTERNET . Kati ya njia nyingi unazoweza kuzitumia kujiingizia Kipato kupitia Internet, Blog Ndiyo njia rahisi ya kuweza kujiingizia kipato kupitia Internet,Kwa nini kwa sababu ,BLOG haihitaji ujuzi mkubwa ukilinganisha na Njia Nyingine.
Unachohitaji ni Kumiliki Blog na kuanza kuandika/kuweka makala na kuchagua njia gani unataka kuitumia kujiingizia kipato kupitia Blog yako,yote hayo utayapata kupitia Kitabu hiki.

NUFAIKA BLOG,Kwa kulifahamu hilo imeamua kuandaa kitabu hiki chenye kurasa 42, kitakachokupa mwongozo wa jinsi ya Kujiingizia kipato kupitia BLOG.

Kitabu kimeandikwa katika lugha ya kirafiki na inayoeleweka kwa urahisi,Hii ina mana hata mtu ambaye alikuwa hajui chochote kuhusu Blog ataweza kupata ufahamu wa kutosh a utakaomwezesha kuianza safari yake ya kujiingizia kipato kupitia Blog.

Vilevile kitabu kimetumia picha katika jinsi ya kutengeneza Blog ili kumfanya msomaji aelewe kiurahisi na kwa Haraka zaidi.

YALIYOMO NDANI YA KITABU HIKI;

1.Blog ni nini?
2.Majukwaa(Njia) unazoweza kuzitumia kutengeneza Blog(Blogger,Wordpress na MyWapBlog).
3.Jinsi ya Kutengeneza Blog.
4.Matumizi ya Blog
5.Njia za Uhakika za Kuitumia Blog yako kama chanzo cha Mapato .
6.Sifa ambazo ni lazima kila mmiliki wa Blog anatakiwa awe nazo.Kinyume na Hivyo unapoteza Muda wako.
7.Kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika Blog,Na SULUHISHO,nini Ufanye ili uweze kufanikiwa kupitia Blog.
8.Jisikie Una Bahati ( Hii hutakiwi kuikosa)
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 5,000/= TU!

MALIPO YAFANYIKE KUPITIA;

MPESA:0768 449 989 au
Tigopesa:0672 999 266.
Kisha tuma email yako Na Jina lako,
Utatumiwa kitabu chako punde tu baada ya kufanya Malipo.

TAHADHARI: HAKIKISHA JINA(ABDALLAH HEMEDI) Kabla ya kutuma Fedha,Na tumia namba uliyotumia kutuma fedha,kutuma email yako.

Ukinunua kitabu utapatiwa na Code, Matumizi ya hizi code ni kwamba,Ikiwa litatokea tatizo lolote litakalopelekea kushindwa kuingia katika email yako/au kupoteza email yako Utatumiwa tena kitabu bila malipo wakati wa kufanya Maamuzi kama utazikumbuka Code ulizopatiwa.

Fanya mawasiliano kabla hujatuma fedha.

Fedha itakayotumwa bila Maelekezo itarudishwa kwa Mhusika baada ya Siku Tatu.

TUMEKUSUDIA KUKUNUFAISHA.

KARIBU SANA NA ENDELEA KUNUFAIKA.

0678 449 989/0672 999 266.
 
Karibu katika ofa hii katika msimu huu wa sikukuu.

Kwa gharama ya Tsh 20,000/= tu utafanyiwa yafuatayo.

1.Utatengenezewa Blog ya Blogger(blogspot) au Wordpress,Chaguo ni lako.
2.Tunakufanyia:design katika blog yako na kukuwekea muonekano wowote unaoutaka.
3.Tutakuwekea Menu na Gadgets/Widgets unazozitaka.
4.Utatengenezewa Na logo yoyote unayoitaka kwa ajili ya kuweka kwenye Blog yako.

Tano: Utazawadiwa kitabu chenye thamani ya Tsh Elfu TANO (wewe utapatiwa kama zawadi) kinachoitwa Jiingizie Kipato militia's Blog,ambacho kitakupa msaada mkubwa katika kuindesha blog yako.

Tunakusudia kukunufaisha!

AGIZA SASA KUPITIA 0768 449 989.Text me au Nitafute WhatsApp kwa namba hiyo hiyo.
 
Safi sana......ila samahani kidogo hivi huu ni msimu wa sikukuu zipi?
 
Natengeneza BLOG ZA WORDPRESS kwa TZS 3,000/=(Elfu tatu tu) na kukufanyia settings zote za subdomain: mfano www.abc.wordpress.com.

Natengeneza Animated web banner,kwa wale wanaotaka kuweka matangazo kwa TZS 1000 tu.

Nafundisha kwa njia ya email Jinsi ya kuweka text link,image link,kuandika kwa rangi tofauti katika blogs za WORDPRESS kwa TZS 3,000 Tu.

Check me abdahemedi@gmail.com

KUMBUKA: BLOG NTAKAYOKUTENGENEZEA UNAWEZA KUTUMIA HATA SIMU KUIENDESHA. MFANO BLOG YANGU NUFAIKA BLOG NAIENDESHA KWA KUTUMIA SIMU NDOGO KABISA TECNO T605.
=======

<UPDATE>

Karibu katika ofa hii katika msimu huu wa sikukuu

Kwa gharama ya Tsh 20,000/= tu utafanyiwa yafuatayo.

1.Utatengenezewa Blog ya Blogger(blogspot) au Wordpress,Chaguo ni lako.
2.Tunakufanyia:design katika blog yako na kukuwekea muonekano wowote unaoutaka.
3.Tutakuwekea Menu na Gadgets/Widgets unazozitaka.
4.Utatengenezewa Na logo yoyote unayoitaka kwa ajili ya kuweka kwenye Blog yako.

Tano: Utazawadiwa kitabu chenye thamani ya Tsh Elfu TANO (wewe utapatiwa kama zawadi) kinachoitwa Jiingizie Kipato militia's Blog,ambacho kitakupa msaada mkubwa katika kuindesha blog yako.

Tunakusudia kukunufaisha!

AGIZA SASA KUPITIA 0768 449 989.Text me au Nitafute WhatsApp kwa namba hiyo hiyo.
[/QUOTE]
Vipi Kwa blogger hufanyi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom