Ndeke afwege
Senior Member
- May 20, 2014
- 154
- 48
!
!
mtafute facebook
Jaribu kumsechi kwa jina la 'NAJ' Maana masista duu huwa hawayataki majina yao ya asili. jina la 'Najenjwa' lazima atalimodify tuu.hayupo fb
Akipatikana nami mnitafutie Anuciata Mlay, amemaliza Korogwe TTC 2012 ama 13. Mara ya mwisho tumeonana Moshi akiwa likizo
ndo mimi anuciata looooo za siku jamani?
kisa na mkasa wa kuja kuandika jina langu huku ni nini ntasumbuliwa sasa.
Mbona tunatiana wivu sasa ina maana mimi jina lako la ukweli ninalolijua(sio la hapa ICHANA) umenidanganya?...ndo mimi anuciata looooo za siku jamani?
kisa na mkasa wa kuja kuandika jina langu huku ni nini ntasumbuliwa sasa.
huyo alikufa kwenye mlipuko...wakati wa maandamano!Namtafuta Azizi malya walihamia misri
Mbona tunatiana wivu sasa ina maana mimi jina lako la ukweli ninalolijua(sio la hapa ICHANA) umenidanganya?...
Na siku zote tunazokutana nje ya JF!....
Call me or something ....u know wat hili jina la anuciata nilitumia kusomea ni la kiluga ujue la bibi mzaa baba yake na mjomba....sasa nilijabatizwa na kuitwa lile ambalo nimekuambia
usiwe na wasiwasi sijakudanganya jaman
Call me or something ....
Basi tutaongea vizuri jumapili tukikutana nitakapokuja kwako ukisharudi KanisaniBado unahis nakudanganya?
Basi tutaongea vizuri jumapili tukikutana nitakapokuja kwako ukisharudi Kanisani
Jaribu kumsechi kwa jina la 'NAJ' Maana masista duu huwa hawayataki majina yao ya asili. jina la 'Najenjwa' lazima atalimodify tuu.
huyo alikufa kwenye mlipuko...wakati wa maandamano!