Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume nafanya Kazi katika company moja ya kifedha, nahitaji mchumba wa kuowa v igezo awe mweusi, Mnene wa Kati na siyo mrefu sana dini na elimu haijalishi ili mladi awe tayari kwenda kupima Ukimwi kabla kufanya chochote!