Nakupenda

Nakupenda

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,504
Reaction score
27,287
Kuna siku nilikuwa naangalia kipindi cha cops nikaona jamaa amekamatwa na polisi kipindi anapelekwa kwenye gari akagundua mkewe anahusika na kukamatwa kwake jamaa akamwambia nakupenda mke Wangu mke akajibu Asante jamaa akamwambia nilidhani ungejibu Kama nilivyosema akaingizwa ndani ya gari siku nyingine niliangalia 24 mtoto alikuwa mgonjwa Sana na alikuwa anataka mama yake akae karibu yake mama alikuwa busy na masuala ya upelelezi kuzuia ugaidi akamwambia mtoto lazima aondoke mtoto akamwambia nakupenda mama akasema Mimi pia mtoto akamwambia kwa nini hujasema Kama mimi.je Kuna uhusiano wa neno hili na hisia za ndani za mtu ni sawa kupima Kama mtu anakupenda kwa kusikia neno hili Mara ngapi umemwambia mtu umpendae kwa sauti ya upendo kuwa nakupenda je alijibu vipi?karibuni.
 
Nikimwambia My Daddy... I love u Dad, huwa anareply I love u Baby.... na my Mum nikimwambia I love u Mummy naye hunijibu I love u Daughter.
 
ukiona mtu anajibu me too, haileti muitikio mzuri, may be ana msongo kwa mda huo, so mi nikiona niliyemwambia nampenda najibu dt shotkat naenda far kumuuliza nijue linalomsibu
 
Nakupenda mpenzi wangu uko peke yako(wasipaone mabazazi wengine hapa mpenzi-this is special for u unaesoma)
 
Kuna tatizo sana la kujieleza, sijui tiba ni nini.
 
Ni kweli kuna uhusiano tena mkubwa,ni kanuni ya upendo ukipewa upendo nawe rudisha upendo, na ukitaka kujua vizuri huyo unayemwambia mwambie huku umemwangalia machoni halafu uone anakujibu vipi,km hisia zake si za kwel atakujibu huku amekwepesha macho kwako.
 
Si lazima kusema, kwani ni BODMAS ili kukariri?
Unaweza kunuambia "nakupenda"...na mimi nikakuchum kwenye shavu ama midomo, does it make any difference?
 
Hata mi sipendii napenda kujibiwaaa kama nakupenda piaa sio n mi piaaa
 
the reply should be the same, ikija nusunusu haileti msisimuko
 
Mi nimejaribu kufanya majaribio kwenye hii mambo kwa Mda mrefu kidogo nikagundua Kuna ukweli wa kihisia Kama unampenda mtu Mara nyingi utamwambia nakupenda yaweza kuwa baada ya mazungumzo ya Sim au ya Ana kwa Ana ila ukiona kila Mara ni wewe tu unaesema na ye hajawahi au akisema anaunganisha na maneno mengine mengi yasiyo romantic mh! kaulizo hutokea Sema kwenye mapenzi tunavumiliana ila ukweli Mara nyingi huwa unapopendwa unajua na pa fifty fifty unajua pia.
 
Nikimwambia My Daddy... I love u Dad, huwa anareply I love u Baby.... na my Mum nikimwambia I love u Mummy naye hunijibu I love u Daughter.
wazazi huwa na upendo wa kweli Sana kwa watoto.
 
Back
Top Bottom