nakupenda sana!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
dia amina,
ni matumaini haujambo,utakapojua hari yangu mimi mzima wa afia.
zumuNi la baRua hii ni kukueleza kwamba nakupenDa,amiNa, nimevumilia *lakini nimeshindwa,naomba nionee huruma mwEnzio usiku silali nakuwaza wewe,nikinywa maji nakuona kwenye kikomBe,shuleni nashindwa kusoma.

nakuomba usinitukane wala usimwambie mtu,kama hutaki niambieTu.
alaFu barua yamajibu weka pale kwenye kichuguu alafu fikia na michanga nitakuja kuichukua pale.
i LaVu you so macHi aminA
 
We yahoo, huyu Amina uliyemwandikia barua yupo kwangu amestarehe hana hata habari na wewe, we ulie tu hamna chako hapo!
kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kwehee kweheeeeeeeeeeeee!
 
haaa haaaa!!
Umenikumbusha mbaaaaaaliiiii sana faza...wanao elewe enzi zao,watakumbuka walichokuwa wanafanya..na kama hukupitia enzi hizi pole sana..unachora na love kw kalamu ya bluu,nyekundu na nyeus na mshale ktkt...weee kesho utamwona anaanza kuchekacheka kila akiona au aibu nyiiiiiingiii: Tamu hiyo.
 
dia amina,
ni matumaini haujambo,utakapojua hari yangu mimi mzima wa afia.
zumuNi la baRua hii ni kukueleza kwamba nakupenDa,amiNa, nimevumilia *lakini nimeshindwa,naomba nionee huruma mwEnzio usiku silali nakuwaza wewe,nikinywa maji nakuona kwenye kikomBe,shuleni nashindwa kusoma.

nakuomba usinitukane wala usimwambie mtu,kama hutaki niambieTu.
alaFu barua yamajibu weka pale kwenye kichuguu alafu fikia na michanga nitakuja kuichukua pale.
i LaVu you so macHi aminA
natunahi u r not serious coz ni utani tu!
 
elia unajifanya mguuuum,wakati barua za namna hiyo umeziandika sana2,ulikua unachora moyo umechomwa mkuki alafu unabandika paspoti saizi

Hahahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...
JF rahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hiyo barua baba yake kaiona umemsababishia kichapo mtoto wa watu,nimeona wanaongozana na baba yake kuja kukuleta kwenu!!
 
Hahahahahahahhh umenikumbusha enzi zetu miaka ya 80's niliandikiwa barua na mvulana halafu akachora moyo katikati amweka mshale, halafu ilikuwa imepuliziwa marashi ya 'Yolanda', sikumjibu hata kidogo. Ila mwaka jana tumekutana yaani alianza kucheka mpaka basi. Jamani enzi hizo we acha tu.
 
Back
Top Bottom