Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,835 Jan 6, 2014 #21 Usiku mwema nawe,angalia usikojoe kitandani lakini
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,685 Jan 6, 2014 #22 lyinga said: Duu kweli ada za shule , umeme, kodi za pango na madeni benki yanawapa watu stress pole na wewe pia njozi njema. Click to expand... ...kweli mkuu! siku hizi watu wengi wanaumwa ugonjwa wa akili, bila yawao kujitambua kuwa ni wagonjwa wa akili (msongo wa mawazo)
lyinga said: Duu kweli ada za shule , umeme, kodi za pango na madeni benki yanawapa watu stress pole na wewe pia njozi njema. Click to expand... ...kweli mkuu! siku hizi watu wengi wanaumwa ugonjwa wa akili, bila yawao kujitambua kuwa ni wagonjwa wa akili (msongo wa mawazo)